NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,332
- 19,717
Unadhani ni KQ ndio imefanya mkawa na less frequency huko? Punda mgonjwa.Kenya Airways suspends flights to Kinshasa over detention of its employees in DRC
Kenya Airways has announced the suspension of flights to Kinshasa starting Tuesday.www.thecitizen.co.tz
MY TAKE
Where is Air Tanzania? Should increase the ftequency or start plying the route!
Unadhania hivyo.? Mpumbavu wewe ๐คฃ๐คฃ๐คฃYou need to understand that rich Tanzanians bring their kids to Kenya for education.
Mama ameleta mapinduzi makubwa kwenye sekta ya Afya,upende au usipende ndio ukweli utabakia hivyoHatupigi kelele. Vitendo vinaongea zaidi
View: https://x.com/MuhimbiliTaifa/status/1784944672877502579
We maku acha uongo eti kelis yuko kunyaland,eti kasema yuko kwa farm wa rafiki yake,kelis alikuwepo africa miezi kadhaa iliyopita,na hakuna nchi iliyomvutia africa kama Tanzania,usijipe umuhimu na ako kanchi kenu kachafu,video hizo hapo kelis alipokua TZ,amevutiwa na vitu vingi TZ na ndio alpokua huko kwenu akawa bado anaonyesha feeling zake kwa mt kilimanjaro,alipokua moshi kafika hadi kwenye mashamba ya kahawa so tuseme mashamba ya rafiki zake?At buffalo44 jinsi ninavyokueleza daily juu ya hii tabia yako ya kulialia, huyu hapa Kelis, mwanamziki wa Marekani yupo Kenya. Kasema Ako kwa farm ya rafiki wake hapa Kenya na kaonyesha kwa video Mlima Kilimanjaro ukaonekana. Hapo hapo wabongo wakaleta siasa zao za Mlima uko Tz wacheni kuuiba. Hata Kelis naye amechoka nao kamjibu aache ujinga na hilo analijua.๐๐๐
Alafu nimependa jinsi Wakenya walivyojibu eti saa zingine wao husema Air Tz ni ya Kenya ndio acheke jinsi wabongo mnavyorukwa na akili. Ila Wabongo bana.๐๐
View attachment 2976450View attachment 2976451View attachment 2976452View attachment 2976453View attachment 2976455
Piga bakora hiyo chokoraa ya kibera.We maku acha uongo eti kelis yuko kunyaland,eti kasema yuko kwa farm wa rafiki yake,kelis alikuwepo africa miezi kadhaa iliyopita,na hakuna nchi iliyomvutia africa kama Tanzania,usijipe umuhimu na ako kanchi kenu kachafu,video hizo hapo kelis alipokua TZ,amevutiwa na vitu vingi TZ na ndio alpokua huko kwenu akawa bado anaonyesha feeling zake kwa mt kilimanjaro,alipokua moshi kafika hadi kwenye mashamba ya kahawa so tuseme mashamba ya rafiki zake?
Mapinduzi amefanya Magufuli, mama yako yupo yupo tu!Mama ameleta mapinduzi makubwa kwenye sekta ya Afya,upende au usipende ndio ukweli utabakia hivyo
Kwanini ajihusishe na watu wa hovyo!๐
Yaani nilikuwa namaliza kusoma comment ili niandike hivi nakuta umeshaandika. ๐๐๐DDC Kariakoo inakula nyundo. Labda inapisha kitu kikubwa.
๐๐๐๐จUnune,uchukie au utukane huo ukweli hautaufutaMapinduzi amefanya Magufuli, mama yako yupo yupo tu!
Maisha yangu yote sijawahi kulinganisha mlima Kenya na kichuguu, leo nimeona kichuguu kinatajwa sana hapa, na hii picha kweli mlima unafanana na kichuguu. Wabongo mna maneno.
We maku acha uongo eti kelis yuko kunyaland,eti kasema yuko kwa farm wa rafiki yake,kelis alikuwepo africa miezi kadhaa iliyopita,na hakuna nchi iliyomvutia africa kama Tanzania,usijipe umuhimu na ako kanchi kenu kachafu,video hizo hapo kelis alipokua TZ,amevutiwa na vitu vingi TZ na ndio alpokua huko kwenu akawa bado anaonyesha feeling zake kwa mt kilimanjaro,alipokua moshi kafika hadi kwenye mashamba ya kahawa so tuseme mashamba ya rafiki zake?
Nakazia tuu ๐๐Msije kusema hamjaona Agrarian Revolution ๐๐
View: https://www.instagram.com/p/C6Wg0dMou8F/?igsh=NXdrMmJpaWVyYzF1