Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

At buffalo44 jinsi ninavyokueleza daily juu ya hii tabia yako ya kulialia, huyu hapa Kelis, mwanamziki wa Marekani yupo Kenya. Kasema Ako kwa farm ya rafiki wake hapa Kenya na kaonyesha kwa video Mlima Kilimanjaro ukaonekana. Hapo hapo wabongo wakaleta siasa zao za Mlima uko Tz wacheni kuuiba. Hata Kelis naye amechoka nao kamjibu aache ujinga na hilo analijua.😂😂😂
Alafu nimependa jinsi Wakenya walivyojibu eti saa zingine wao husema Air Tz ni ya Kenya ndio acheke jinsi wabongo mnavyorukwa na akili. Ila Wabongo bana.😂😂

 
Tatizo nn kama MT Kilimanjaro ni mlima wa Tanzania mbona tusimwambie huyo Kellis? Ngoja niende ku-post pia!
 
Tatizo nn kama MT Kilimanjaro ni mlima wa Tanzania mbona tusimwambie huyo Kellis? Ngoja niende ku-post pia!
Ndio maana tunawaambia hizi beef zenu na hasira zimetokana na inferiority complex na utoto. Kelis mwenyewe ashawai kuja Tanzania anajua mlima upo Tanzania. Hapo amesema tu anaupna Kilimanjaro ndio nyinyi Watanzania mmeanza kelele zenu. Ndio maana Kila siku mnasema tunawaibia vitu.😂😂
 
Mlima upo territory ya Tanzania! TRUE OR FALSE? Hamna kitu tumedanganya! Unaumia nn sasa? Kellis kuhabarishwa ukweli? Nimeweka comment yangu! Huwezi ona Mtanzania ana-claim Kibera true Kenyan slum 😂😂🤭🤭!!
 
Mlima upo territory ya Tanzania! TRUE OR FALSE? Hamna kitu tumedanganya! Unaumia nn sasa? Kellis kuhabarishwa ukweli? Nimeweka comment yangu! Hiwezi ona Mtanzania ana-claim Kibera true Kenyan slum 😂😂🤭🤭!!
The point is.
1. Kelis is not Kenyan.
2. She didn't claim the mountain is in Kenya.

buffalo44 can and pick your granddad. He's losing his mind.
 
The point is.
1. Kelis is not Kenyan.
2. She didn't claim the mountain is in Kenya.

buffalo44 can and pick your granddad. He's losing his mind.
But she ought to know where that beautiful Mt Kilimanjaro belongs! Kelele za nini nyoko wewe? Beaten at ur own game? Its ours n i am proud to have informed Kellis about my country's treasure i.e. Mt Kilimanjaro! Nn unalialia kuna mtu kabisa Kibera is Kunyaland's?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…