ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,145
- 3,333
Hakuna unalokubali hata moja, inabidi ukaombewe hii dhambi🤣Hizi vitu unatuonyesha ziko Mombasa terminal. Though Mombasa terminal is more beautiful than Dar terminal.
Hakuna unalokubali hata moja, inabidi ukaombewe hii dhambi🤣Hizi vitu unatuonyesha ziko Mombasa terminal. Though Mombasa terminal is more beautiful than Dar terminal.
CDF wa Kenya kafa kizembe hatujaongea chochote. Sasa hao 155 nchi yenye watu 60M+. Je unataka tuweze kuorodhesha wanaokufa na njaa huko Kenya?Yani wamekufa kuliko huku yet mitandaoni hamna picha. Hawa waficha uchi.😂😂
Fala ww.Kama your SGR trains ndio hazifikishi that speed, how will that delapidated MGR do it?
Tunataka wazoee kwa muda alafu tuwapige kwa kitu kizito kichwaniWafunike Ile cover ya hapo mbepe itapendeza zaidi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tunataka kuziona zikitoka Nairobi to Mombasa masaa matatu kama zetu from Dar to Dodoma masaa matatu.That ”gari moshi” has higher speed than your electric trains😂😂😂
Duuu ka shauline temple🙌🤣🤣🤣🤣Tanzanians want to compare their toilets with these world class stations.
Mtito Andei SGR Station.
View attachment 2974227
View attachment 2974228
View attachment 2974230
Kazi Yao ni kupost picha za mafuriko ya Kenya kumbe kwao ni matanga 😂😂Yani wamekufa kuliko huku yet mitandaoni hamna picha. Hawa waficha uchi.😂😂
Ifananishe na ile tanzanite ndo utapoona kinyesi kilivyotofauti na kekiBetter than this toilet.
View attachment 2974771
Hivi CDF wa kenya amekufa kisa nini