Na haya mambo sio Sisi tu, na Uganda pia wanawafanyia hivi hivi. Maziwa ya unga ya Uganda hawataki, eti kila kilo moja inayokataliwa inasave 10 litres kwao.Unakumbuka walikuwa na suala la sukari yenye mercury miaka michache iliyopita!
Yaani wewe nyang’au ni mpuuzi sana. Tatizo hujielewi kuwa wewe ni mpuuzi🙂Kama your SGR trains ndio hazifikishi that speed, how will that delapidated MGR do it?
Your sgr line can barely handle 120kph sasa hiyo speed ya 200 or 300kph peleka ushago.Unapinga nini hapo nikuprove wrong?
Hii ndio 200kph or 300kph
Just accept that your trains are slower.Your sgr line can barely handle 120kph sasa hiyo speed ya 200 or 300kph peleka ushago.
Achana na hiyo jobless. 24/7 yupo humu JF.A
Acha ujinga wewe sisi watu wazima humu mijadala ya kitoto hatutaki.
Shauri yako na uzima wako. I know you hate the truth.A
Acha ujinga wewe sisi watu wazima humu mijadala ya kitoto hatutaki.
Accept your imbecility?Just accept that your trains are slower.
Unajiskiaje?😂😂😂300kph indeed and it takes 6 hours between Nairobi and Mombasa. It is indeed very fast than ours lets close the mater now. Happy? 😁
Kuna kitu kinaitwa "sustainable building" sidhani kama unafahamu lakini. Kwa mfano hii station hapo juu. Why build such a building in the middle of no where!!
Hakuna tofauti ya Stations zenu na Toilets za Machakos County.Kuna kitu kinaitwa "sustainable building" sidhani kama unafahamu lakini. Kwa mfano hii station hapo juu. Why build such a building in the middle of no where!!
Station zote za Tanzania zilijengwa according to the current and future population demand. Sio kwa ajili ya kiwafurahisha wakenya. Treni sio kama ndege eti kuna reporting time. Hakuna haja ya kujenga lisehemu la watu kulala lala tu!
Terminal nzuri lakini sio green kwenye design yake na pia gari moshi likiingia hapo moshi kama wote na hewa hubadilika na kuwa ya ukaa.Wakenya terminals zenu nzuri sana tena sana...shida ipo kwenye treni yenu na speed yake😂😂😂
If you use common sense huwezi fananisha diesel engine vs electric train
That ”gari moshi” has higher speed than your electric trains😂😂😂Terminal nzuri lakini sio green kwenye design yake na pia gari moshi likiingia hapo moshi kama wote na hewa hubadilika na kuwa ya ukaa.
Ukitaka kumvuruga nyang’au muonyeshe sgr test ya tz, atabaki anaweweseka siku nzima🙂Ukitaka kukasirisha mtanzania mwambie that their trains are slower than Kenyan diesel trains😂😂😂
Yani wamekufa kuliko huku yet mitandaoni hamna picha. Hawa waficha uchi.😂😂