Upuuzi mtupu.Tanzanians want to compare their toilets with these world class stations.
Mtito Andei SGR Station.
View attachment 2974227
View attachment 2974228
View attachment 2974230
Sasa tukusaideje wewe nyang’au?
Ile hata kwa mwanza passenger terminal haioni ndani 😂😂😂😂😂Mimi nimemruhusu atumie Airport terminal yao ile ya kuvuja, na bado haiwezi toboa 😂😂😂
Kuna airport Tanzania ishaishinda any award?Ile hata kwa mwanza passenger terminal haioni ndani 😂😂😂😂😂
View attachment 2974248
Upuuzi mtupu.
Ni ukweli mkuu.Nilichogundua, Watanzania are aspiring for mambo makubwa sana, yaani kile kinachotokea China, Japan kwa sasa.
Angalia treni Kenya, Nigeria, South Africa, Ghana lakini hii yetu Watanzania waliipinga sana. Imagine tungekuwa na mzigo mbovu kama wa Kenya SGR!!??
Kwa hiyo tukusaidiaje nyang'au?Kuna airport Tanzania ishaishinda any award?
Baada ya kuchafuliwa hewa na ma temple a.k.a stations za kenya, this is indeed a breath of fresh air.
Na leo utachoka tu😎
Hebu tuwekee na picha ya stendi, ha ha ha😎Nairobi Station.
Share
![]()
![]()
![]()
![]()
Naona bado umevurugwa kweli kweli😎😎Mko na Stations mbili pekee Tanzania?😂😂😂 Unaona aibu kupost the likes of Pugu and Soga?😂😂😂