Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiona jengo la Tanzania Lina originality, jua limedesigniwa na Mkenya.
Walijaribu kucopy station ya Mariakani wakashindwa. Wakaendelea kujengwa toilets like these 😂😂


1714130476572.jpeg
 
Wakenya akili mlikosa.

Hii station ni sawa and unavoingia kwenye ndege. unanyeshewaje wakati train zinakuja na kuondoka kwa muda uliopangwa
What’s the length of your trains? What’s the length those boarding shade? Are their lengths the same to you?😂😂
 
Kusoma pia hujui? Then you need prayer😂😂
Nakusihi rejelea kusoma tena.
Hiyo article haielezei main distance kuwa ni 400+kms from Dar to Dodoma.
Shida unajua kiingereza ila huelewi kusoma.
Kujua lugha na kuelewa ni mambo mawili tofauti.
Soma kwa uelewa.
 
Nakusihi rejelea kusoma tena.
Hiyo article haielezei main distance kuwa ni 400+kms from Dar to Dodoma.
Shida unajua kiingereza ila huelewi kusoma.
Kujua lugha na kuelewa ni mambo mawili tofauti.
Soma kwa uelewa.
Unalia ukiwa wapi?

IMG_0170.jpeg
 
When did 100km/hr train be equal to 160km/hr train?
When did a diesel powered train become faster than electric train?
Are you a visitor in this thread?😂😂

Kenyan trains can go up to 200km/hr. We also have za 300km/hr😂😂

IMG_0162.jpeg
 
Back
Top Bottom