Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ww na mm anaejua umbali wa dar dodoma ni Nani??🤣🤣🤣🤣🤣

Unaumia kuskia dar to Dom ni 3hrs 🤣🤣🤣
Your government knows better 😂😂

Dar to Dodoma is 452km
IMG_0167.png
 
Nimekwambia overall yote pamoja na kupishania treni ni 722km SASA kwann ikatae sio over 500km 🤣🤣🤣🤣🤣

Unaumia nn kuambiwa dar to Moro ni 3hrs
Unajua kuliko serikali ya Tanzania wenye wanasema ni 452km?😂😂

IMG_0167.png
 
Nilikwambia hvi

Dar to Moro 300km including njia za kupishania

Moro to Dom ni 422km including njia ya kupishania

Haya kaza fuvu SASA 🤣🤣🤣🤣🤣
Kati yako Serikali ya Tanzania tuamini nani?

IMG_0167.png
 
Back
Top Bottom