REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,675
- 11,688
High quality, mi sidhani kama hawa Wachina watatengeza kwa quality ya Yapi. Halafu mziki bado ile mipini kukinukisha. Wachina wamelipua sana BRT phase 2.Wanahitaji kichapo! Ila SGR imeshtua watu si Nigeria si Ghana si Ukunyani si South Africa!
Lile dude la Ghana kwakweli sio poa yaani, halafu wanalishangilia "power power" Halafu ni DMU na ni fupi sana halafu very slow. Wapoland mungu anawaona.Wanahitaji kichapo! Ila SGR imeshtua watu si Nigeria si Ghana si Ukunyani si South Africa!
When SGR Kenya was launched and before iweke Speed Limit. Alafu kuna baboon anasema ati SGR ya Kenya haiezienda past 100km/hr😂😂
View: https://youtu.be/TIdSUr5dkB4?si=KRcFXN1qY-2OPBdp
Nilisema wakundustan ni wapumbavu wakuu kwenye hii region wanaojiona smart 😂😂😂😂Hawa kenyans ni jokers 😂😂😂👇
View: https://www.instagram.com/reel/C6JQt9cNdTc/?igsh=Nng0OXMzbGpkdzR2. Wamechukua tractors kuokota maji barabarani
Ni marufuku Mkunya kuuziwa dollar, hiyo ni policy
Mmeanza excuses?View attachment 2973097
Yaani kabisaa, unatarajia mashindano kati ya gari moshi na hii truck iliyochoka hivi?
Na huo mto hio gari ilienda kuchukua mchanga kwenye Mto wala sio Barabara hioHuu mchezo tunaujua vizuri Sana😅
View: https://twitter.com/Chaannelfm/status/1782457801597386789?t=O4uTCj7zKS9Qut4xGKwRZA&s=19
Na bora wasitumie yale matakataka yao wanayoita helicopters 😂😂😂Teargas hebu wahesabu wenzako Huko muko salama alaf nipe report tafadhali😂😂😂