Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So yule deputy prime minister wenu sura kama kenge alikuja na tuktuk??
Nilikuuliza Why Kenyans are too dark?

1713707573920.png
 
So diplomatic issues ndio zinafanya useme hatupendwi? Hivi Tanzania hamna diplomatic dispute? Hiyo inayoendelea na Malawi ni Gani? Rwanda je? Na Ile ya Mozambique? Wacheni unafiki. Nenda mitandaoni wakenya tunapendwa kote kote na ukitaka niporomoshe video humu ujionee.
Sawa
 
Ok using the same logic , then we shall move our border to the center of Lake Victoria.. our portion is too small , doesn’t comply with the “international Law”… 😃😃
Tuanzie mnaanza kujimegea wapi bila kugusa ardhi ya nchi nyingine? Mstari unachorwa kuanzia ardhi ya nchi ilipo na kuunganisha na upande mwingine wa Ardhi ya nchi. Hapo kwenya mnaanzaje kujikatia nusu bila kugusa ardhi ya Tz or Uganda, chora nione

1000010803.jpg


Elimu ndogo kisa umesikia international law hata huijui inafanyaje kazi.

Jikatie nusu hapo basi.
 
Back
Top Bottom