Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,880
- 32,657
Mwaka huu nyang’au hawana pa kujificha🙂nimekutana na mechi ya ligi kuu ya kenya , honestly I take this as a Joke. Mpira mbovu, poor stadium , pitch mbovu na Chafu kama shamba la mpunga, hivi Kwanini Azam asinunue ligi hata ya Rwanda au Uganda? Imagine wachezaji ni wengi kuliko mashabiki. Na hawa ndio wanataka waandae Afcon View attachment 2963411View attachment 2963412View attachment 2963413View attachment 2963414