Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Hehehe kweli kulinganisha hizo grazing fields na Police FC stadium is a big mistake.Achana na police FC, the average high school playground in Kenya is better than this
Hehehe kweli kulinganisha hizo grazing fields na Police FC stadium is a big mistake.Achana na police FC, the average high school playground in Kenya is better than this
Imebidii nisearch any game ilichezwa outside Makwapa Stadium yesterday and luckily nimepata na hii match ya Simba Vs Ihefu😂😂😂Achana na police FC, the average high school playground in Kenya is better than this
Lamu Port will handle bigger post-panamax ships that no other port in the region can manage to handle.
View: https://x.com/Kenya_Ports/status/1779168534502727870
Tazama pitch ilivokua Safi na yet ni viwanja vya zamani vina miaka zaidi ya 40 🤣🤣🤣 na tena kiko singida ambayo sio cityImebidii nisearch any game ilichezwa outside Makwapa Stadium yesterday and luckily nimepata na hii match ya Simba Vs Ihefu😂😂😂
Ebu angalia vile bench inafanana 😂😂
View attachment 2963927
Tazama pitch ilivokua Safi na yet ni viwanja vya zamani vina miaka zaidi ya 40 🤣🤣🤣 na tena kiko singida ambayo sio city
View: https://twitter.com/azamtvtz/status/1779163491636556204?t=RQbfc2-llc0kYArQB1CpBA&s=19
Na hicho kiko mtwara not even a city tazama pitch alaf mechi inachezwa usiku taa zakutosha very modern 🤣🤣👇👇👇Imebidii nisearch any game ilichezwa outside Makwapa Stadium yesterday and luckily nimepata na hii match ya Simba Vs Ihefu😂😂😂
Ebu angalia vile bench inafanana 😂😂
View attachment 2963927
Leta kiwanja Kenya chenye taa tuone hapa😅😅Grazing field.
Ona pitch hii SASA 😅😅😅😅 Yani munatia huruma mbwa nyinyi, mdomo Tu ndio majaliwa yenuGrazing field.
Stadium nyingine kutoka Kagera tazama pitch alaf mechi inachezwa usiku 😅😅👇Grazing field.
Tuliza mk*ndu bado cranes zinakua installed. Unadhani tulinunua cranes zishike samaki. 😂 😂 😂Itaanza lini plz?🤣🤣🤣🤣🤣 Over 3 good years uharo mtupu
View attachment 2963941
Tazama pitch uwanja kutoka geita not even a city 👇👇😅😅😅Grazing field.
Over 3 good years mulikua munafanya kazi gani? 😅😅😅😅 Kusafirisha mbuzi na kondoo auTuliza mk*ndu bado cranes zinakua installed. Unadhani tulinunua cranes zishike samaki. 😂 😂 😂
Inatofaut gani na znz majumba ya udongo yamejaaa hapo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Yani Mombasa hua ni vichekesho tu picha imekula makeup lakini wapiMombasa
![]()