Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Taa kwani vitu vya kushangaza?Leta kiwanja Kenya chenye taa tuone hapa😅😅
Ulinzi Stadium home of Ulinzi Sports Club.
Taa kwani vitu vya kushangaza?Leta kiwanja Kenya chenye taa tuone hapa😅😅
Tazama pitch uwanja kutoka geita not even a city 👇👇😅😅😅
View: https://twitter.com/azamtvtz/status/1779139020980658677?t=PRNgbiFR7nREpSBlMgfKXw&s=19
Stadium nyingine kutoka Kagera tazama pitch alaf mechi inachezwa usiku 😅😅👇
View: https://twitter.com/azamtvtz/status/1779200521967968376?t=rgr3VQJXOZTkI3AfRyVA_g&s=19
Grazing field. Washabiki wananyeshewa kama ng’ombe😂😂
Asante kwa hasira nyingi Sana 😂😂😂😂Hizi ni grazing fields na mashabiki wanakaa kwa nyasi wakinyeshewa kama ngombe
Hasira gani? Kwani ni uongo kwamba hizo grazing fields unaleta hapa washabiki wanakalia nyasi?Asante kwa hasira nyingi Sana 😂😂😂😂
Mshabiki gani amekalia nyasi 🤣🤣🤣🤣Hasira gani? Kwani ni uongo kwamba hizo grazing fields unaleta hapa washabiki wanakalia nyasi?
Stadiums zote Tanzania mashabiki wanakalia nyasi except Makwapa na hile ya Zanzibar.Mshabiki gani amekalia nyasi 🤣🤣🤣🤣
Nioneshe sasa mbona porojo Tu nataka kuwaona waliokalia nyasi 🤣🤣🤣🤣🤣Stadiums zote Tanzania mashabiki wanakalia nyasi except Makwapa na hile ya Zanzibar.
Nioneshe sasa mbona porojo Tu nataka kuwaona waliokalia nyasi 🤣🤣🤣🤣🤣
Usisahau na hii mkwakwani tanga 👇👇
View: https://youtu.be/Wrh_x-y-LII?si=mS2NGXlXW4NfHtOj
Shades ndio inafanya uwanja uwe Bora??🤣Huoni hakuna shades? Hao mashabiki hakuna tofauti Yao na ng’ombe juu wananyeshewa na kuchapwa na jua bila huruma.
Another new stadium in dar owned by KMC teamHuoni hakuna shades? Hao mashabiki hakuna tofauti Yao na ng’ombe juu wananyeshewa na kuchapwa na jua bila huruma.
Tazama pitch ilivokua Safi na yet ni viwanja vya zamani vina miaka zaidi ya 40 🤣🤣🤣 na tena kiko singida ambayo sio city
View: https://twitter.com/azamtvtz/status/1779163491636556204?t=RQbfc2-llc0kYArQB1CpBA&s=19
Bora ingekua hvo ingekua nafuu hebu tazama hakuna mshabiki hata mmoja zaidi ya waokota mipira 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Na hapo ingekuwa kwa manyang’au ungekuta washangiliaji ni wa kabila moja tu; ha ha ha wapuuzi sana hawa jamaa🙂
Unadhani STS gantry cranes zinatengenezwa na wiki moja ama? Enyewe wewe hua pumbavu. 😂 😂 😂Over 3 good years mulikua munafanya kazi gani? 😅😅😅😅 Kusafirisha mbuzi na kondoo au
Na mukiambiwa ni white elephant hua munakasirika nn ??😅😅😅😅😅😅
Unacrop out maghorofa ndio ulazimishe Mombasa ifanane na Zanzibar. Huna hata aibu. 😂 😂 😂Inatofaut gani na znz majumba ya udongo yamejaaa hapo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Yani Mombasa hua ni vichekesho tu picha imekula makeup lakini wapi
View attachment 2963955View attachment 2963956
Dar slum mavi yanagonga chupi 😃Mombasa
![]()