Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1713090213807.png

1713090252285.png
 
Siwezi brag kufanya skating kwenye international forum ka hii, Shamba boy wewe 😂😂😂
Kama unabrag kukula rice chakula cha wafungwa, mbona usibrag kuhusu skating? Ungekuwa ushaiskate ungeweka hapa.

So in short naongea na mwenye hajui skating ni nini.
 
Kama unabrag kukula rice chakula cha wafungwa, mbona usibrag kuhusu skating? Ungekuwa ushaiskate ungeweka hapa.
Shamba boy nyinyi ni maskini wa chakula and yes it was my intention to make you feel bad, juu rice hapo kundurenders republic is only for middle class. 😂😂😂
 
Shamba boy nyinyi ni maskini wa chakula and yes it was my intention to make you feel bad, juu rice hapo kundurenders republic is only for middle class. 😂😂😂
Mimi nakula in expensive joints lakini wewe unashangilia rice za 50 bob. Nilikuambia budget yako ni cheap naezakulisha mwaka mzima.
 
Kwani huyu jamaa kila kitu ni kubwa kwako? Mapua kubwa, maskio kubwa eye socket na hadi midomo pia kubwa.

1713091294689.jpeg
 
Shamba boy wewe bhana wacha kupata maumivu 😂😂😂
Maumivu gani? Nakuonea huruma na wewe unasema maumivu? Nakuombea mungu akusaidie na pesa uache kufurahia kukula kwa kibanda na uache pia kufurahia kukula low quality rice.
 
Back
Top Bottom