Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,905
- 9,730
Kwa mdomo wame intercept ila Kwa ground Hali Iko hivi 👇👇
View: https://twitter.com/sarabahaa94/status/1779294990776082915?t=Jfm5d9HYhcBbXEyOeKJ6Mw&s=19
One casualty so far😅😅😅
Kwa mdomo wame intercept ila Kwa ground Hali Iko hivi 👇👇
View: https://twitter.com/sarabahaa94/status/1779294990776082915?t=Jfm5d9HYhcBbXEyOeKJ6Mw&s=19
🤣🤣🤣🤣 US na UK wamepewa kazi na Israel hapo Kwa kibaraka wao Jordan
View: https://twitter.com/spectatorindex/status/1779263064732520671?t=wHcYseDSFAS6nnWlgOvCEw&s=19
Mzigo unaendelea kuja 😁😁
View: https://twitter.com/jacksonhinklle/status/1779336328401826052?t=blabl33xd2irvzmR_8NoiQ&s=19
Ila basi tuu ila mambo ya vita sio poa kabisa just imagine inazuka vita ya 3 ya Dunia Kila kitu kitenda kuanza upya baada ya hasara kubwa ya maisha na mali.Hii ngoma mbichi baba Iran iangalie tu hizo drones zishiishe! maana watashindwa kujilinda!
Huu ndio wakati mzuri kupeleka democracy Iran🤓🤓Hii ngoma mbichi baba Iran iangalie tu hizo drones zishiishe! maana watashindwa kujilinda!
Ila basi tuu ila mambo ya vita sio poa kabisa just imagine inazuka vita ya 3 ya Dunia Kila kitu kitenda kuanza upya baada ya hasara kubwa ya maisha na mali.
View: https://twitter.com/Brics_Dollar/status/1779256957649531263?t=9LLRBVataencVvMWWhhGqA&s=19
Usafiri wenu mkubwa tunaujua mabasi ya dizaini hii yapo machache sana uko kwenu
Sema Azam TV wewe nyang'au 🤣🤣🤣🤣#FootballKe live from KBC😎View attachment 2962627
Kwahiyo KBC anarusha maudhui ya Azam TV bure!!🤣🤣🤣Wacha tule pesa za wajinga🤓 mechi tunaangalia KBC😂
Sasa embassy ya US hapo Tanzania imekuwa Dunia nzima? Yani Wabongo mnahitaji elimu kama jana.🙄🙄Ngoja tuone yule wa kwao kama dunia itastuka hata kumbukizi ya kufa kwake. Wazungu washenzi sana wanakutumia kwa manufaa yao kisha wanakutupa as a piece of trash.
Iran, Persia (Waajemi) Watalam wa vita Karne na Karne.Hii ngoma mbichi baba Iran iangalie tu hizo drones zishiishe! maana watashindwa kujilinda!
The attack was not about killing people!! Have a brain please. You think everyone is like Israel, or USA and NATO ??One casualty so far😅😅😅
You don’t know anything about Kenyan upcountry buses. Kenyan long distance buses are much better than those Chinese boxes you have down there.Usafiri wenu mkubwa tunaujua mabasi ya dizaini hii yapo machache sana uko kwenu
Shamba boi umeendelea kuongea upumbavu wako wa kishamba.? 😂😂😂 Kwamba kenyan products are much better than that of China.? Aah mamammaeee.You don’t know anything about Kenyan upcountry buses. Kenyan long distance buses are much better than those Chinese boxes you have down there.
Tusitukaniane wazazi sasa we jamaa……hii vita ni yetu sisi wazazi waachwe!!Nimekuuliza swali, unajua hata babako ni nani? Ushaimuona? Ama wewe mimba yako ilishikwa kwa street usiku?