Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Toilet boy wewe ndo hauijui Zuku lakini katika pita pita mitandaoni zuku ni jina la nyumbani 😅😅👇

 
Zuku fiber anatumia mkongo wa taifa wa TTCL 😅😅😅😅😅 na sio zuku Tu kampuni zote zinazojihusisha na internet zinatumia mkongo wa TTCL even Burundi, Rwanda, Congo, Malawi, Zambia,uganda
Umehamisha hoja kuwa Zuku haijulikani bongostan😅
 
Kunya vyuma kama hvi ni anasa wenyewe washazoea vipanya

Jamani mnitakie safari njema
Tuendeleee kuwanyosha
1000039844.jpg
1000039843.jpg
1000039842.jpg
1000039841.jpg
 
Back
Top Bottom