Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hayo maneno kaiga kwa msanii wa Tanzania anaitwa TID kenge wewe kakuonesha na video hapo hujaelewa nn ww makalio πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Huyo msani wa Tanzania ndio alibuni hayo maneno?
 
Toa physical features. Tunaongelea history. Physical features ni Geography na Kila nchi ina yake. Nipe mambo Watanzania kama binadamu wanayojulikana nao. Tanzania is not a famous country. Ndio maana Kila siku mnalia tumeiba mlima wenu, kama mngekuwa mnajulikana hilo halingemsumbua.
 
Ona ulivyo fala,kihistoria toka lini Kenya ikajulikana zaidi ya Tanzania!?
1)Julius Kambarage Nyerere ni miongoni mwa watu mashuhuri duniani na aliingizwa katika hilo jarida 1990s.Je kuna rais wa Kenya aliyeingiza katika jarida la viongozi mashuhuri duniani??
2)Tanzania inajulikana Afrika kama nchi iloongoza kupatia mataifa mengine uhuru.Ndio maana unakuta Tanzania katika masuala ya kidiplomasia inapewa kipaumbele kuliko Kenya,Tulitoa General secretary wa UN Asha Rose Migiro na sasa tuna RAIS WA WABUNGE AMA SPIKA WA BUNGE DUNIANI DR.TULIA AKSON.Je Kenya mmetoa mtu yupi mashuhuri zamani na sasa!?
3)Rais Samia ameingizwa katika list ya wanawake mashuhuri duniani kwa sasa na kote ulimwenguni inafahamika.Je mna mwanamke mashuhuri Kenya ambae kiongozi!?
4)Tanzania kimpira imefanya ijulikane na sasa hivi ina wafuasi wengi mpaka Spain mathalan Mussonda mchezaji wa Yanga aliletewa zawadi kutoka Hispania hivyo inamaanisha NBC PL inatizamwa.Vipi kuhusu ninyi!?
Hayo yanakutosha pambana na hayo kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…