Azam complex,kaitaba,Uhuru,Mkapa,Ligi ya uwanja mmoja wa kupauka 😃 afrika tuna safari ndefu
Utasemaje kiwanja kimoja?
Vingine kama Jangwani na KMC stadium vinakuja.
Geita gold nao wanajenga uwanja wao.
Wa Arusha nao ukikamilika utakua unatumika katika ligi.
Kuna wa jamhuri Dodoma.