Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtwapa, a suburb of Mombasa City. View attachment 2956003
Kilifi county au ni urongoo🤣🤣🤣🤣
Screenshots_2024-04-07-08-16-22.png

Na Nina wasiwasi mkubwa hii picha sio ya mtwapa 😅😅😅😅😅
 
Mombasa isiyo na 5 star hotel facility? Unai-compare na Arusha jiji lenye conference facilities na maofisi ya UN, EAC, Aftican courts PSPU e.t.c! BTW comparison ya Mombasa na Zanzibar hamna tena?
So the yardstick for a city is 5 star hotels or you are just picking what you feel Arusha is ahead. What if we also ask if Arusha has a Major Port or beautiful beach resorts etc. Mombasa = Mwanza + Arusha + Zanzibar.
 
Nimekaa mtwapa na asimilia kubwa ya wakaazi wanadhania kwamba wako Mombasa. Ebu leta satellite towns za DAT slum
Narudia tena mtwapa haiko Mombasa county na ndio maana 16km from Mombasa CBD unajua ushaimaliza Mombasa imeingia county nyingine 😅😅😅😅😅

Mtwapa iko kilifi county na hio picha na wasiwasi sio mtwapa narudia tena hio picha Nina wasiwasi mkubwa sio mtwapa 😅
 
Narudia tena mtwapa haiko Mombasa county na ndio maana 16km from Mombasa CBD unajua ushaimaliza Mombasa imeingia county nyingine 😅😅😅😅

Mtwapa iko kilifi county na hio picha na wasiwasi sio mtwapa narudia tena hio picha Nina wasiwasi mkubwa sio mtwapa 😅
Hebu leta 16Kms from Mwanza ama Arusha. Ukishindwa basi Italikua hatujakosea kusema Mombasa= mwanza + Arusha + Zanzibar
 
Zanzibar ni mbovu, uswazi kila kona Kama dar slum. 😫😫
Zanzibar ina modern infrastructures, health cares, hotels etc kuliko Mombasa, Mombasa inamaendeleo gani?? Hebu ntajie moja Tu ikiwa mji Una slums kila Kona sijui Bangladesh slum etc 😅😅😅 hvi ww unafkiri Mombasa mm utanidanganya nn ??
 
Hebu leta 16Kms from Mwanza ama Arusha. Ukishindwa basi Italikua hatujakosea kusema Mombasa= mwanza + Arusha + Zanzibar
Kutoka mjini mwanza kwenda airport ni 10km
Kutoka mjini kwenda nyegezi bus terminal ni 12km
Kutoka mjini kwenda nyamongolo bus terminal ni 14km

Na hzo ni just infrastructures sio kua umeimaliza mwanza no way 😅😅😅😅
 
Zanzibar ina modern infrastructures, health cares, hotels etc kuliko Mombasa, Mombasa inamaendeleo gani?? Hebu ntajie moja Tu ikiwa mji Una slums kila Kona sijui Bangladesh slum etc 😅😅😅 hvi ww unafkiri Mombasa mm utanidanganya nn ??
Zanzibar yote ni swazi, yaani hio AFCON mutatuletea aibu kubwa Sana na hiko kimji chenu kibovu. Nimekupa ruksa chukua Mwanza na Arusha uzichanganye na Zanzibar tupige battle na Mombasa😎
 
Wacha maneno mengi, leta towns ambazo zimepakana na Mwanza na arusha. Kama vile Mombasa kuna mtwapa, nitajie equivalence mwanza au Arusha. Nimekupa ruksa pia unaweza ukaleta zilizo zunguka dar slum
 
Nimeshakujibu tayari na Ile picha sio mtwapa narudia kukwambia tena I know very well mtwapa 😅😅😅😅😅😅
 
Zanzibar yote ni swazi, yaani hio AFCON mutatuletea aibu kubwa Sana na hiko kimji chenu kibovu. Nimekupa ruksa chukua Mwanza na Arusha uzichanganye na Zanzibar tupige battle na Mombasa😎
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 👇👇👇👇👇
Zanzibar ina modern infrastructures, health cares, hotels etc kuliko Mombasa, Mombasa inamaendeleo gani?? Hebu ntajie moja Tu ikiwa mji Una slums kila Kona sijui Bangladesh slum etc 😅😅😅 hvi ww unafkiri Mombasa mm utanidanganya nn ??
 
Nimeshakujibu tayari na Ile picha sio mtwapa narudia kukwambia tena I know very well mtwapa 😅😅😅😅😅😅
Wewe mtwapa unaijua yote?? Mahali ambapo kuna wazungu wengi wanaishi panaitwaje?
 
So the yardstick for a city is 5 star hotels or you are just picking what you feel Arusha is ahead. What if we also ask if Arusha has a Major Port or beautiful beach resorts etc. Mombasa = Mwanza + Arusha + Zanzibar.
Mzee wa fake life 😂😂😂 Zanzibar alone is far better compared to Mombasa.
 
Back
Top Bottom