muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,852
Yani mbingu na ardhi yani,🤣🤣Uwanja wa serikali ya Tanzania na uwanja mali binafsi ya mchina
Yani mbingu na ardhi yani,🤣🤣Uwanja wa serikali ya Tanzania na uwanja mali binafsi ya mchina
Ukikuta kitu kama hiki hapo Mombasa nakupatia $10,000Mombasa = Mwanza + Arusha + Zanzibar + Dodoma
Hili ni safina la Noah ama ?😃😃
Ebu tuonyeshe hizo sehemu sijui Nyamongolo zinakaa aje. Usiwe unataja tu majina ya vijiji na distance yake. Nimefika Mwanza na ukitoa city center huo mji ni vichekeshoKutoka mjini mwanza kwenda airport ni 10km
Kutoka mjini kwenda nyegezi bus terminal ni 12km
Kutoka mjini kwenda nyamongolo bus terminal ni 14km
Na hzo ni just infrastructures sio kua umeimaliza mwanza no way 😅😅😅😅
What he'll do is, post pictures of mwanza airport and the bus terminus and he'll be finished. Nothing else to be seenEbu tuonyeshe hizo sehemu sijui Nyamongolo zinakaa aje. Usiwe unataja tu majina ya vijiji na distance yake. Nimefika Mwanza na ukitoa city center huo mji ni vichekesho
Nimeangalia hiyo Nyamhongolo kwa google maps, hamna barabara ya lami hata moja. Hapo utaambiwa ni mjini Mwanza ila Mtwapa ambapo ni mji umeshikana na Mombasa utaambiwa ni kilifi County.What he'll do is, post pictures of mwanza airport and the bus terminus and he'll be finished. Nothing else to be seen
Nyegezi hali ni hivyo hivyo.Nimeangalia hiyo Nyamhongolo kwa google maps, hamna barabara ya lami hata moja. Hapo utaambiwa ni mjini Mwanza ila Mtwapa ambapo ni mji umeshikana na Mombasa utaambiwa ni kilifi County.
View attachment 2956221
Ona sasa umeshaanza wivu wako wa kinyang'au😉😉Hili ni safina la Noah ama ?😃😃
5km from Mombasa CBD uchafu mtupu wakat CBD yenyewe imejaa slum na majumba ya udongo 😅😅😅😅😅Nyegezi hali ni hivyo hivyo.View attachment 2956228
Huu ni uchafu ambao uko nyuma ya CBD Mombasa 😅😅😅😅😅😅 wala hata hupendi mbali just only 1kmNimeangalia hiyo Nyamhongolo kwa google maps, hamna barabara ya lami hata moja. Hapo utaambiwa ni mjini Mwanza ila Mtwapa ambapo ni mji umeshikana na Mombasa utaambiwa ni kilifi County.
View attachment 2956221
Mombasa haitokaa ipate taste kama hizi, Arusha achaneni nayo kabisaNyegezi hali ni hivyo hivyo.View attachment 2956228
Another 3 to 4 km from CBD Hali ndio hii alaf munashindana na Tanzania😅😅😅Nimeangalia hiyo Nyamhongolo kwa google maps, hamna barabara ya lami hata moja. Hapo utaambiwa ni mjini Mwanza ila Mtwapa ambapo ni mji umeshikana na Mombasa utaambiwa ni kilifi County.
View attachment 2956221
It's a financial institution, wana pesa ndefu sana. Wanazidiwa na China na US tuu kama ingekuwa nchiWho is Blackrock?
Tuseme tu hujui meaning ya suburb. 😂 😂 😂 Wabongo munakuanga mafala sana. Toilet Boy mjuaji ebu tuambie kama sio Mtwapa hapo ni wapi?Kilifi county au ni urongoo🤣🤣🤣🤣
View attachment 2956129
Na Nina wasiwasi mkubwa hii picha sio ya mtwapa 😅😅😅😅😅