Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usiwe pumbavu, yani hadi cranes zimeandikwa Lamu Port lakini unajifanya mjinga.

Bora kuwa mpumbavu kuliko kuwa kituko kama wewe...

Hiyo kuandikwa si hata mimi naweza kuandika?

Leta tangible information, tuone zikiwa installed hapo lamu... Au hata habari zake hapo lamu... Hizo STGs alununua captain ruto last year za KPA mombasa..

Msapere wa hovyo sana wewe
 
More equipment for Lamu Port, we mean business.

Image
Image

Image
 
Kule Kundustan Wanadharau Tanzania kila kitu State owned , Eti tunasubiri serikali itujengee (Which is not bad) sisi wananchi tunalipa kodi na lazima tuboreshwere kila kitu.

Cha Kushangaza wanashangilia Foreign state owned projects kwao😂 .Kuna eneo nimeona Documentaries , Kundustan Kuna Chinese state owned companies zinawatoa kimasomaso yaani hadi Chinese Provincial goverment companies zinawakula 😂😂😂 .

Na mtu anapanua mdomo kuhusu serikali ya Tanzania kufanya vitu vingi kwa wananchi wake.

IMG_5722.jpeg

IMG_5721.jpeg
 
View attachment 2956625

View attachment 2956626
Na unakuta kuna lipumbavu linashangilia, kwa Dunia ya sasa ya scarcity resources ni vyems nchi iwe na umiliki baadhi ya vitu muhimu ili likitokea la kutokea madhara yawe madogo.

Sasa hapo kundustan wanavyozidi kuzaliana na madeni mpaka matakoni, ardhi ambayo ni asset kubwa inaenda kwa wageni, baadae itakuwaje maana huwezi ishi na kila mtu mzima chumba kile kile?

Kazi zitatokea wapi ikiwa vitu vya government vipo vile vile na vimejaza, kuleta matatizo mengi maana private sector ikiwa na ombwe kubwa la ajira inaanza kukupangia kila kitu la sivyo utakiona refer KQ na Ruti za Dar. Ban moja kesho wanabembeleza.
 
Ile mwaka mulitushinda kwa FDI hamkua munataka tupumue hapa. Leo ndio munajifanya hamtambui FDI.
 
Kule Kundustan Wanadharau Tanzania kila kitu State owned , Eti tunasubiri serikali itujengee (Which is not bad) sisi wananchi tunalipa kodi na lazima tuboreshwere kila kitu.

Cha Kushangaza wanashangilia Foreign state owned projects kwao😂 .Kuna eneo nimeona Documentaries , Kundustan Kuna Chinese state owned companies zinawatoa kimasomaso yaani hadi Chinese Provincial goverment companies zinawakula 😂😂😂 .

Na mtu anapanua mdomo kuhusu serikali ya Tanzania kufanya vitu vingi kwa wananchi wake.

View attachment 2956625

View attachment 2956626
Wee nawe kaskie vibaya huko kwenu na huu wivu wako.
 
Na unakuta kuna lipumbavu linashangilia, kwa Dunia ya sasa ya scarcity resources ni vyems nchi iwe na umiliki baadhi ya vitu muhimu ili likitokea la kutokea madhara yawe madogo.

Sasa hapo kundustan wanavyozidi kuzaliana na madeni mpaka matakoni, ardhi ambayo ni asset kubwa inaenda kwa wageni, baadae itakuwaje maana huwezi ishi na kila mtu mzima chumba kile kile?

Kazi zitatokea wapi ikiwa vitu vya government vipo vile vile na vimejaza, kuleta matatizo mengi maana private sector ikiwa na ombwe kubwa la ajira inaanza kukupangia kila kitu la sivyo utakiona refer KQ na Ruti za Dar. Ban moja kesho wanabembeleza.
We subiria 😂😂😂😂
 
Kama kuna mtu mnafiki humu duniani ni Mtanzania. 🤣 🤣
Na kama kuna mtu mwenye roho mbaya humu duniani ni MKENYA haridhiki hata na chake hadi cha jiriani yake anajitangazia chake ubaya umeingia ndani mpaka umelandana na sura zenu ndio maana nchi nzima mmefanana hamna cha mwanamke au mwanaume wote sura ni hizohizo kama mnataka kulia vile na makomwe yenu.
 
Back
Top Bottom