Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuringia estates ni ufala wa kiwango,mlifaa mtafute excuse ingine yakushindwa nunua plot sio mlete 7bu uchwara hapa

Dar kumepimwa unajenga kulingana na Raman ya mji...mtakuja kuelewa thaman ya icho kitu mkizeeka
 
Tatizo ni kwamba nchi yenu ilishauzwa tangu zamani.Mnajiita MIC ilihali mwananchi wa kawaida hawezi ku cope na uchumi unaodhaniwa.
Ndio maana wakenya wengi kama wale wa Kibera wanaishi kwenye concentration camps.
 
utawakossha usingizi...wakiskia hii wanaanza kulia lia
 
2nd ni Mwanza, najua wajua ila nakujuza zaidi!!
honestly nje ya Dar sijui city zingine...kwanza hata nilidhani Arusha ndio namba 2 ila baada ya kuniambia ni ya tatu ukanichanganya kabisa...sasa Mbeya ndio hata sijawahi kuiskia maishani mwangu...nimeiskia leo..ebu leta picha angalau tuone kama iko ligi ya Mombasa au la...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…