Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 73,000
- 103,887
Askari wa kinyang’au wamekalia kupiga picha tu na kujionyesha😎
View: https://m.youtube.com/watch?v=qdY91uFpSh8
Teargas upo?
Kundulander wako hapa wakijitamba!
Askari wa kinyang’au wamekalia kupiga picha tu na kujionyesha😎
View: https://m.youtube.com/watch?v=qdY91uFpSh8
Teargas upo?
Hao ni sawa na mbuni anayeficha kichwa wakati mwili wote uko wazi ha ha ha😎😎Kundulander wako hapa wakijitamba!
kiazi kweli wewe, Narobi inayo GDP ya 85? hahahaNa
Nairobi alone is wealthier than Tanzania. So sijui unaongelea vijiji gani.
Huyo siku hizi amekua mwehu kichaa, ndio maana sihangaiki nae Sana 🤣🤣🤣🤣🤣
Ati vijiji!Kenya hatuoni mkituonesha maendeleo yenu. Au nyie kwa sasa ni ulaya? 🤣 🤣 🤣
View attachment 2951445
Alafu vijiji vyenyewe nyumba ni za nyasi.🤣🤣Ati vijiji!
Kwani Hadi mko categorized under villages kama makondo Karne hiii?
Semeni each household not villages.
Kazi ya Government ni kufikisha umeme kwenye kijiji. Household owner ni kuweka kwenye nyumba yake. Hebu tupatie statistics za hapo kunyaland.Ati vijiji!
Kwani Hadi mko categorized under villages kama makondo Karne hiii?
Semeni each household not villages.
Mbaya zaidi wanakijiji wa kenya hawana hata hizo nyumba za nyasa; wanalala kwenye vichaka kama nguruwe 🤣 🤣 🤣Alafu vijiji vyenyewe nyumba ni za nyasi.🤣🤣
Naona wamejenga jengo jipya linakaribia kukamilika.Kwani hiyo ndio ni hospital pekee within DODOMA?