Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maeneo yanayowalaza na viatu wakenya:
1. Upanga
2. Kisutu
3. Kivukoni
4. Mchafukoge
5. Kariakoo
6. Gerezani
7. Mbweni
8. OysterBay
9. Masaki
10. Kijitonyama
11. Makumbusho
12. Sinza
13. Mbezi Beach
14. Avic Town
15. Kawe
16. Mikocheni
17. Mwenge
18. Ubungo

Hebu waambieni walete maeno 18 ya kutujibu kama wanaweza.
Wewe bora uacha wehu.
 
😂 😂 😂 Munalazimisha tufanane, Kenya hakuna shida ya sukari, in fact hata tunapunguza imports. Hizo propaganda zenu sijui mumetoa wapi.


View: https://x.com/ntvkenya/status/1772130081604784352?s=20

Nilikuwa nimeshangaa. Sukari Bei imeshuka na iko kwa wingi tuu. babayao255 unaona Yale huwa nakwambia mko petty? Ingekuwa ni media ya Kenya imeshare habari hizi za uongo kuhusu Tanzania mngezuandika kwa kitabu cha kumbukumbu na 100 years from now wajukuu wenu bado wangekuwa wanaongelea jinsi Kenya tunavyoharibia nchi yenu Jina.🤣🤣
 
Back
Top Bottom