Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mtu huwa anaitaja Gor mahia mbele ya Simba na Yanga, alafu anaweka na kapicha ka mechi ya bonanza kwamba Gor mahia ishawahi kuwafunga Simba na Yanga, watu kwa sasa tunapambana na miamba ya Afrika yeye anataja Gor mahia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20240401-125849_Canva.jpg
 
Kuna mtu huwa anaitaja Gor mahia mbele ya Simba na Yanga, alafu anaweka na kapicha ka mechi ya bonanza kwamba Gor mahia ishawahi kuwafunga Simba na Yanga, watu kwa sasa tunapambana na miamba ya Afrika yeye anataja Gor mahia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Gor is the only East African club to ever won an African Continent trophy.

1711830670744.jpg
 
Kuna mtu huwa anaitaja Gor mahia mbele ya Simba na Yanga, alafu anaweka na kapicha ka mechi ya bonanza kwamba Gor mahia ishawahi kuwafunga Simba na Yanga, watu kwa sasa tunapambana na miamba ya Afrika yeye anataja Gor mahia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Timu inalala airport kwa kukosa pesa ya kulipa hotel. 😂😂😂
 
But why did they have to do that!?
kwasababu walishazoea kutufanyia yale wanafanya tukienda kucheza kwao now they see kwamba tutawafanyia so wanajipanga mapema. Hamuwezi elewa kwa kuwa ninyi hamshiriki haya mashindano nchi za uarabuni ndio zimezoea sana kufanya haya mambo hata kupuliza dawa za kuchosha mwili ktk viyoyozi.
 
Back
Top Bottom