Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

She's so bitter with Tz's development ako radhi aongee uongo for the sake of her ego.
Hata akiongea uongo itasaidia nn zaidi wanajidanganya nafsi zao dunia ya SASA bro hata mtoto wa miaka miwili huwezi mdanganya siunaona Yule kondoo Jana kaiba picha za mwanaume mwenzie na kaumbuka humu ndani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hiyo turda ni hii hapa 👇
View: https://youtu.be/YgMkTQF5puQ?si=zn0To_RRRqnKAoWh. Level za hii ni barabara za namba Tanga my hometown. Wewe Teargas hii sindio turdo yenye you talking about.? 😂😂😂
 
Kuna picha za zamani za lupaso stadia zilikua zikitumwa humu na jirani zetu wanatuogopa. Hii hapa si picha ya zamani sana ya Mkapa stadia 👇
1200px-Tanzania_National_Main_Stadium_Aerial(0).jpg
nadhani bwana fake life ndio alizusha huu mjadala Reborn Ktb. 😂😂😂.
 
Back
Top Bottom