Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It's actually the other way. Kama ungekuwa na akili ungeliona hilo kitambo.

Kila mtu anajua sahivi, ili upate unachotaka kunyaland basi wewe taja Tanzania Tu 🤣
Mlianza kufurahia hapa vile Uganda itapitisha mafuta Kwenu. Mkishawapea what they wanted wakawadump.
 
Unafaa urudi kwenu wewe. Unajazia watanzania nchi yao.


View: https://twitter.com/Kenya_Ports/status/1772866662661775676?s=19

Hii ni meli ya kifakhari duniani iliobeba matajiri wenye pesa nyingi Sana tena imetoka znz imekuja dar just imagine 🤣🤣 Yani imeacha pesa znz unakuja kuacha na pesa dar two in one

Ukiskia Neno meli ya kifakhari basi ujue hapandi yoyote bali ni watu wenye uwezo mkubwa Sana



View: https://twitter.com/OUtalii/status/1647988398697709570?t=XGD3LAPQQbXT9Qxdcz553A&s=19







Na hii imeingia juzi mafia meli nyingine tena 🤣🤣🤣👇👇👇👇

View: https://twitter.com/Nipashetz/status/1772997664184959026?t=gGejfe87PGdoTSy0u_CUEQ&s=19
 
Back
Top Bottom