Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanajaribu kupoza machungu ya Tanzania kuangaliwa dunia nzima siku ya leo na kesho, eti Rally 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Makenya yana wivu sana wallahi 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Spenders wenyewe ndio hawa wanaopikia mkaa na accompanied matoke from their villages probably watalala humo humo ndani ya basi halafu mtakaa msubiri dollars million 70 ziwe injected kwenye economy πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 2948216
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Nani anawaangalia? Nobody cares about CAF.
 
Dunia nzima ilhali gazeti ni la tanzania, πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Nimewaambia wanionyeshe any news outlet outside Africa talking about CAF wakashindwa. Hata Kenya, Uganda, Ethiopia, Nigeria, Ghana, Morroco, Ivory Coast, Senegal, Angola and DRC hakuna any news outlet talking about CAF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…