Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Around TZS 3.6T (KES 180B) has been spent on its revival so far yet the loss has increased by 61%🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2947462
Kampuni ambayo bado uwekezaji unaendelea sio Tatizo kubwa, Tatizo liko kwenu wenye ndege tatu chakavu alaf loss iko over 23b ksh kwa zaidi ya miaka 11 munaendesha hasara ikikadiriwa kufika 250b ksh kwa miaka yote ambayo hio pesa unaeza kujenga reli kutoka naivasha mpaka malaba SGR 😂😂😂😂
 
Leta ushahidi kua gati moja moja imeuzwa hapo Mombasa kuna mpaka gari za tycoons wa nje ya Kenya na ndani ya Kenya 😂😂

Joho pekee anamiliki bearth tatu muhimu hapo Mombasa port na hata hakuoni shida😂😂
 
Leta ushahidi kua gati moja moja imeuzwa unaongea kwa hasira na Wivu , DP world Yuko mpaka marekani achilia mbali Tanzania, hapo Mombasa kuna mpaka gari za tycoons wa nje ya Kenya na ndani ya Kenya 😂😂

Joho pekee anamiliki bearth tatu muhimu hapo Mombasa port na hata hakuoni shida😂😂
 
😂😂😂😂😂😂😂 Tropic Air Kenya just launched in Tanzania i think last year, sasa umekuja kuturingia. That is owned by a Kenyan my friend. Subsidiary of tropic air kenya 😂
Next atasema KCB Tanzania ni Yao … he will swear K stands for Kagera … atatudanganya it’s owned by same people who own Kagera Sugar…😄😄..Hawa majamaa wana Ushamba na vituko …🤣🤣🤣🤣… ( and am so proud of my Swahili vocabulary…really improved)… 🤣🤣
 
Na zungumzia uendeshaji wa ma bus wala sio mradi wa Brt. Hakuna kampuni homegrown Tanzania yenye uwezo wakusimamia hizo bus, kwani mko chini kiasi gani?😃😀
Ndio DART ilipewa ni kampuni ya hapa hapa ndani lakini wameshindwa kusimamia mradi vzr SASA tunawapa wenye uwezo wa kusimamia
 
90% of Aviation companies in Tanzania ni za wakenya. Hata hiyo ATCL wakilist on stock market wakenya watainunua.
 
90% of Aviation companies in Tanzania ni za wakenya. Hata hiyo ATCL wakilist on stock market wakenya watainunua.
Leta ushahidi mm nifunge ACC SASA hvi 🤣🤣🤣

Unaongea tu ilimradi upunguze kamasi kwenye ubongo wako 😂😂😂😂

Wakenya gani wakununua ikiwa matajiri wanakimbia nchi, nimeskia SASA hvi kwenye ukitaka kuajiriwa uandae laki mbili ya rushwa 😂

Yani kila idara mumefeli shs ya Kenya imeshuka mpaka mukope pesa nyingi Sana ndio shilingi yenu ikae sawa hapo unaona kuna nchi kweli??🤣🤣
 
Duh! Mzee point zako ngoja tu niachane nayo. Maana nyingine zinakuumbua
 

Joho hana uwezo wakumiliki gati hata moja Mombasa, kitu anachomiliki ni CFS mbili moja iko miritini nyingine ipo nairobi. Kurudia rudia jambo halitalifanya kuwa kweli gati zote Kenya zinamilikiwa na GOk tofauti na tanzania ambayo imeanza kuzipeana kwa kampuni binasfi kutoka Dubai (DP World). Saivi watu wameanza kuchagua Kama wabakie TPA ama waingie DP World



 
What is a problem. Unaumia ukiwa wapi? 🤣 🤣 🤣
 
Ndio wanatakiwa wachague ww unataka wafanye nn 🤣🤣🤣 kwani Nani amekwambia gati zote za dar hazimilikiwi na serekali ya Tanzania, tofautisha kuendesha na kumiliki, DP world iko mpaka marekani inaendesha bandari za marekani, Malaysia, Singapore, Egypt etc

Swali ni kwann kachagua dar port na sio Mombasa port , ntakupa homework kaa chini ujiulize Sana alaf aniletee majibu 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…