Tukiwaambia mambo ya gas wamwachie Taifa gas billionaire kutoka Tanzania
View: https://twitter.com/timelesspat/status/1772354220102140302
View: https://twitter.com/LarryMadowo/status/1771993558699896990Kijiji cha nairobi sio salama kwa kuishi nawaombeni wawekezaji kimbieni nairobi mje bongo Kenya NI SHIDA NATION...... π± π± ππ
Awataki tako zao waleTukiwaambia mambo ya gas wamwachie Taifa gas billionaire kutoka Tanzania
Watajijua wenyewe as long as sisi point za FIFA zimeongezeka, hatujali.South Sudan ranks position 166 while Mongolia is 190. Hata hamna aibu kusherekea beating a bottom team.
π€£π€£π€£Kwani mnasave chini ya mattress?
Juu bank zenu ni maskini!
Hivi ndivyo mnavyojifariji mkipokea misaada?π€£π€£π€£Wizara ya Afya Haiwezi Kuja na Vipaombele Tofauti na hivi?
Yaani Bil.980 yote itaishia huku π
-Semina,makongamano
-Elimu Kwa Umma
-Pisho
-Condom
-ARVs
My Take : Hata kama ni Msaada Ongezeni na USA , sehemu ya pesa ifanye mambo mengine ya msingi kwenye Afya
View: https://www.instagram.com/p/C48c8PNK76h/?igsh=MXF2ZDlvMHgwZTFtZA==
Mwisho Kundustan wanaojipendekwza daily hawapati hata mia ππ
Nyie mnaojipendekeza ndio Huwa tunawashangaa,sisi hatujipendekezi Kwa bwana zenu Wazungu ila wanatubembeleza.Hivi ndivyo mnavyojifariji mkipokea misaada?π€£π€£π€£
Wabongo ni watu wa kushangaza. Tukipokea misaada, wanajisifu, wakipokea misaada wanajisifu.π€£π€£
Hivyo ndivyo mnavyojiaminisha ila ukweli kwa ground ni tofauti. In the past 3 weeks alone, mmepokea misaada mara tatu kutoka kwa Wazungu. Bado mnasema hamjipendekezi. Hizo misaada mmepewa kisa mnaziitaji. Hadi kwa budget yenu mmeandika part of the budget will be funded by aid na bado mnajiaminisha eti hamuhitaji misaada. Wabongo bana. π€£ π€£Nyie mnaojipendekeza ndio Huwa tunawashangaa,sisi hatujipendekezi Kwa bwana zenu Wazungu ila wanatubembeleza.
Ulitaka tukatae? Kwani hatuhitaji pesa?
Mademu wa Nairobi mmekomaa sana, hivi ni kwanini?Hivi ndivyo mnavyojifariji mkipokea misaada?π€£π€£π€£
Wabongo ni watu wa kushangaza. Tukipokea misaada, wanajisifu, wakipokea misaada wanajisifu.π€£π€£
Huko vitu hugota!! Hawachelewi kusema ilikuwa ujenzi wa Bwawa la Luba!! ππππππTalanta stadium imegeuka kua bwawaπ€£π€£
View: https://www.instagram.com/reel/C48oN6TIRQC/?igsh=MTRzbmJ0a21neHB6dQ==
Ila hamna mtu ameumizwa na Talanta Stadium kama wewe Geuza.π€£π€£Huko vitu hugota!! Hawachelewi kusema ilikuwa ujenzi wa Bwawa la Luba!! ππππππ
Yaani tuumize na failed state. Kenya haina futureIla hamna mtu ameumizwa na Talanta Stadium kama wewe Geuza.π€£π€£
Kunguni kabisa angalia Picha comment section πππ