Na ninyi mkafungwa na timu yenye rank ya 166 kwenye Fifa?
Na wewe wakati huo ulikua rank ya 110 ukafungwa na timu ipo rank ya 160+??
Nani afaa kuona aibu??
Watakufa kwa kihoro jamani punguzeni lakini tungonge sana maake walikuwa wanatutukana kuwa Tanzania is a SLEEPING GIANT now days things have been changed watalia sana na bado ndio tumeanza