mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 4,812
- 5,263
The head of Chinese delegation after arriving back in China was asked when they will start the Arusha pet Stadium and this what he said….🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ona huyuuuu!!🤣🤣🤣Hamna blue glass hapo!
Nililalamika hapa zaidi ya mwaka sasa kuhusu kununua hizi 737 max 9 watu wakazitetea sana hapa kuwa wamezikarabati sijui nini? Hizi ndege zinamatatizo, majuzi tuu Alaska airlines imepata matatizo ikiwa angani. Hizi ndge hazifai, sijui kwa nini ATCL wanazing'ang'ania.Wamesema fungua usome zaidi:
Boeing 737 Max9, ambayo iko katika hatua ya makabidhiano, na moja ya masafa marefu aina ya Boeing 787-8, ambayo ipo katika hatua ya uundwaji
Just Dar 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Okay someone try to explain this to me. Is this guy bragging about websites ama did i miss something? What are you bragging about?Kila kitu hapa Tanzania kipo na utaratibu wake. Hakuna mambo ya kihuni kihuni kama Kenya 🤣🤣🤣👇👇👇
View attachment 2943560
That one is mentally challenged. You'll get aneurysm trying to understand him.Okay someone try to explain this to me. Is this guy bragging about websites ama did i miss something? What are you bragging about?
Subiri na drive nikifika nitakupatia dawa yakoThat one is mentally challenged. You'll get aneurysm trying to understand him.