πππππππMongolia yenye iko 190 kwa FIFA ranking ndio unafurahia kupiga bao tatu. π π π
Hii ni Dalili ya maumivu kwann hamuna shukurani nyinyi π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Weeeeeee wacha kabisa kaka, ni mbingu na ardhi π€£π€£π€£π€£π€£π€£Aisee!
Mwanza na Dar hazijapishana sana naweza kusema.
Hizo ni mashindano za testing tu, hakukua na playoffs. Au unadhani kuna game mulicheza muka qualify. π π πkwanini nyie hamshiriki haya mashindano?
Wameangalia kupitia decorder zao za Azam, hata mm nawaambia asante sana na waendelee kutumia bidhaa za Tanzania.Teargas nairobae Reborn Ktb asanteni kwa support yenu π€π€π€πππ
View: https://twitter.com/azamtvtz/status/1772275612691866077?t=ULOUPgt_4RKR7KwzFH84GQ&s=19
Andika kijaluo tuu au kikamba kama kiswahili kimekushinda haaha.Hizo ni mashindano za testing tu, hakukua na playoffs. Au unadhani kuna game mulicheza muka qualify. π π π
Tunashiriki kama muwakilishi pekee kutoka EA, nyinyi hamkushiriki afcon so tulieni tuwawakilishe kama kaka yenu.Hizo ni mashindano za testing tu, hakukua na playoffs. Au unadhani kuna game mulicheza muka qualify. π π π
Ndio nini hii umeandika?Hizo ni mashindano za testing
Sa unaona nikama mutashinda hio tournament ju mumeshinda Mongolia. π π π ππππππππ
Kenya ni Mavi bro.Ila Kenya
Alie kuzidi kakuzidi tuu mzee tarehe 29 lipia kisimbusi chako cha azam mapema kwani tunaenda kuiheshimisha EAC kwa mkapa.Hizo ni mashindano za testing tu, hakukua na playoffs. Au unadhani kuna game mulicheza muka qualify. π π π
It's a pilot project.Ndio nini hii umeandika?
Endeleeni kutu support hvo hvo plzπ€ππSa unaona nikama mutashinda hio tournament ju mumeshinda Mongolia. π π π π
Pole kwa maumivu, ulicho wish hakikuwa, jipange upya π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hizo ni mashindano za testing tu, hakukua na playoffs. Au unadhani kuna game mulicheza muka qualify. π π π
Si tutakua tu hapa hio 29th, tutaona matokeo.Alie kuzidi kakuzidi tuu mzee tarehe 29 lipia kisimbusi chako cha azam mapema kwani tunaenda kuiheshimisha EAC kwa mkapa.
Akachukue kuku wake kwa mganga π€£π€£π€£Pole kwa maumivu, ulicho wish hakikuwa, jipange upya π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Unajua Iβm wondering government websites zimejazwa hapa na sijui mbonaππThat one is mentally challenged. You'll get aneurysm trying to understand him.
sasa hapo kidogo tunakuelewa ishi kitumwa zaidi sababu huna chako huna cha kujivunia. Na hamuwezi ombwa msamaha na King Charles kwakuwa mlifaidi nini vile....It's a pilot project.