NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,977
You can’t handle the truth!(in Jack Nicholson’s voice)🤣🤣🤣🤣… and by fantasizing yourself as a Black Putin ( who doesn’t give a 2 f**k about you) tells me a lot about your childhood…. You must have been one of those lost boys in Ujamaa indoctrination camps… 🤣🤣🤣🤣Maswali ya kitoto kabisa. Kwanza kabla ya kukujibu; How old are you?
Tunawapatia moto wa haja. Hawatatusahu tena. Hawa Kundustan na vingereza vyao vya endukashoni 🤣🤣🤣
View attachment 2943584
Tanzania ipo mbele sana. Wenzetu wapo wamejifungia Kibera Slums. Mama Ngina kawaficha 👇👇👇🤣🤣🤣
View attachment 2943605
Walipanda kq kurudi china au?? Na waliondoka lini na sangap let us know🤣🤣Kule kwa jirani, mchina alirudi kwao after kuwa pressured to sign some papers. I doubt if that Arusha thing will start construction this year.
Kama wako Tanzania basi Mbona hakuna kitu kinaendelea kwa ground? Talanta Stadium iko busy na construction while your Arusha Stadium hata hamjui construction itaanza lini.Walipanda kq kurudi china au?? Na waliondoka lini na sangap let us know🤣🤣
Kwani ww unawaswas gani hata SGR simulisema hvo hvo au mumesahau??muliomba 1km 🤣🤣Kama wako Tanzania basi Mbona hakuna kitu kinaendelea kwa ground? Talanta Stadium iko busy na construction while your Arusha Stadium hata hamjui construction itaanza lini.
Wamesema fungua usome zaidi:Hawajasema ni ndege Aina gani hzo mbili?
Hzo zilishalipiwa muda Tu na zilikua kwenye order mm nikadhani wamenunua zingine tena mbiliWamesema fungua usome zaidi:
Boeing 737 Max9, ambayo iko katika hatua ya makabidhiano, na moja ya masafa marefu aina ya Boeing 787-8, ambayo ipo katika hatua ya uundwaji
Bado Bunge la Budget. Watatueleza, maana tunahitaji kama ndege mbili hivi za mizigoHzo zilishalipiwa muda Tu na zilikua kwenye order mm nikadhani wamenunua zingine tena mbili