Why is Kenya so afraid of Tanzania?
=>Tanzania ni nchi imara isiyoyumbishwa na pressure zozote kutoka nje.
=>Tanzania ilisaidia nchi nyingi sana Africa kujikomboa kwahiyo imejitengenezea marafiki wengi nje na ndani ya Africa.
=>Tanzania ilitumia mali na akili zake zote kukomboa nchi zingine za Africa. Kwa sasa imeshaanza kujijenga.
=>Tanzania ipo Intelligent Security Imara barani Africa
=>Tanzania ipo na umoja; imeunganishwa kwa lugha safi ya kiswahili.
=>Tanzaia ipo na resources nyingi kwa sasa imeanza kuzitumia kujijenga
Kwa upande wa Kenya ni Opposite ya hayo hapo juu.