Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii hapa AZAM FC Wakenya wanaendelea kukodoa macho Tanzania inasonga mbele 🤣🤣🤣👇👇👇

1711287322808.png
 
So you are saying while ranked 119 worldwide and never secured a win in AFCON. Despite your clubs never winning any continental trophy ever since they were established and you lost to Bulgaria in your last match. Football is your best sport, hii ni maajabu😃😃
ichoboy01 usipite kimya hatakama ni ukweli mchungu
 
Ww hushtuki talanta mchina anajenga kwa over 300m USD three times of Arusha stadium🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hapo bado pesa ya ruto ya kukubali mradi another 50m USD
Usilinganishe Talanta na kila uchafu barabarani, leta kina Wembley, old Trafford N.K
 
So you are saying while ranked 119 worldwide and never secured a win in AFCON. Despite your clubs never winning any continental trophy ever since they were established and you lost to Bulgaria in your last match. Football is your best sport, hii ni maajabu😃😃
Kushiriki mashindano makubwa kama hayo ambayo ww haumo na hutakuwemo kwa miaka mingi tu 🤣🤣

Yes tumechapwa na Bulgaria na Bulgaria ni wa 80 kwa ubora lakini haibadilishi maana ya Sisi kushiriki kwenye mashindano makubwa ya FIFA series ni heshma kubwa Sana kwetu kwani ni moja ya sehemu ya kumtangaza nchi yetu

Nyinyi kwenye soccer munashiriki mashindano gani mpaka SASA hvi ?? Naomba ujibu swali langu plz
 
ichoboy01 usipite kimya hatakama ni ukweli mchungu
👇👇👇👇👇👇
Kushiriki mashindano makubwa kama hayo ambayo ww haumo na hutakuwemo kwa 🤣🤣

Yes tumechapwa na Bulgaria na Bulgaria ni wa 80 kwa ubora lakini haibadilishi maana ya Sisi kushiriki kwenye mashindano makubwa ya FIFA series ni heshma kubwa Sana kwetu kwani ni moja ya sehemu ya kumtangaza nchi yetu

Nyinyi kwenye soccer munashiriki mashindano gani mpaka SASA hvi ?? Naomba ujibu swali langu plz
 
Usilinganishe Talanta na kila uchafu barabarani, leta kina Wembley, old Trafford N.K
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kula chuma ukapumzike 👇👇👇 world class stadium hakuna loan wala PPP ni pesa za serekali asilimia 100 hapo bado dodoma mbona mutalipa mwaka huu
20240324_164437.jpg
20240324_164439.jpg
20240324_164442.jpg
20240324_164449.jpg

View: https://twitter.com/XHNews/status/1770439501007249829?t=7XHI_vGuji3nYrKRvt44gA&s=19
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kula chuma ukapumzike 👇👇👇 world class stadium hakuna loan wala PPP ni pesa za serekali asilimia 100 hapo bado dodoma mbona mutalipa mwaka huu
View attachment 2943527View attachment 2943528View attachment 2943529View attachment 2943530

View: https://twitter.com/XHNews/status/1770439501007249829?t=7XHI_vGuji3nYrKRvt44gA&s=19

Kama Nyayo stadium aisee, tofauti ni kwamba tracks za nyayo zimezalisha wanariadha bora duniani😃😃
 
Back
Top Bottom