Tanzania imeshiriki AFCON 2024
Tanzania imeingiza nchi mbili CAFC yanga & simba robo fainali
Tanzania imeshiriki COSAFA soccer beach
Tanzania imeshiriki FIFA series
Haya nambie kwenye soccer nyinyi mumeshiriki kitu gani cha maana and note that hayo mashindano niliotaja kushiriki Tu ni pesa nchi inaingiza sio bure π€£π€£π€£π€£
Mfano yanga na simba kuingia robo CAF champion wameingiza 1.8m USD
Tuambie wewe munamafanikio gani kwenye soccer huku mkijifanya wajuaji wa soka π€£π€£
View: https://twitter.com/CAFCLCC/status/1771869574343917842?t=qAJV6Soj93XVl7nMoRPCSA&s=19