Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We na mwenzako mnakuaga mafala.
BULGARIA 83rd kwa fifa ranking.
Unawaitaje mafala?
Kuna wachezaji wanaocheza Paok,Leeds mpaka leicester.
Unawaitaje mafala??
Wakati mwingine kuweni na akili msiropoke.
We defeated Asian Champions Qatar and even played a draw against Russia, hakuna kitu unaniambia wewe. 😂 😂 😂 Wasindikizaji hamjui kushinda international games.
 
Wanataka kulinganisha huu utopolo na Bukhungu. 😂😂😂

this-is-a-new-look-of-amaan-stadium-in-zanzibar-delivered-v0-7us2uui3a87c1.jpg
Imagine sasa camera za AFCON zina zoom hayo mauswazi hapo pembeni. Hii tournament tungewachiwa manake huyu jirani atalutea aibu EAC
 
We defeated Asian Champions Qatar and even played a draw against Russia, hakuna kitu unaniambia wewe. 😂 😂 😂 Wasindikizaji hamjui kushinda international games.
Asa katika timu ya mpira Qatar nayo team??
😂😂😂😂😂 Muone huyu matako anaongea nini.
Russia mlicheza na team B mnajisifu kucheza na kikosi cha pili??
😂😂😂Akii we ni matako.
Hata sisi tuli draw na ALGERIA ambaye kwa fifa rank yuko juu ya hizo team zote ulizotaja,je unalizungumziaje???
Fala wewe.
 
Niite tuonge ile siku mutashinda mechi yenu ya kwanza AFCON. Siwezi poteza time na losers.
 
Niite tuonge ile siku mutashinda mechi yenu ya kwanza AFCON. Siwezi poteza time na losers.
Bleeeeh bleeeh bleeeeh bleeeeh bleeeeh.
Ushaishiwa hoja Qatar 37th,Russia 40th and Algeria tulio draw nao last year ni 34th rank in fifa.
Hapo unasemaje!?
We piga kelele za chura tu.
Usisahau umeshuka rank toka 110 mpaka 112.
 
We nawe wachaga ubishi wa kitoto, hapo kuna BRT kama unabisha nitapiga mwenyewe picha cku nikipita hapo au wadau watakupigia picha, Tanzania sio Kenya.
BRT inajwngwa nyerere road, hii hapa niliyopost ni Lindi street.
Leta BRT map ya lindi street BRT under construction , danganya mtu mwingine boss sio mimi
IMG_0259.jpeg
IMG_0477.png
 
BRT inajwngwa nyerere road, hii hapa niliyopost ni Lindi street.
Leta BRT map ya lindi street BRT under construction , danganya mtu mwingine boss sio mimiView attachment 2941953View attachment 2941952
Asa we unabisha nini?
Huo mtaa wa lindi ukinyoosha unatokea Gerezani kariakoo pia katika huo ukuta nyuma kuna kituo cha basi cha mwendokasi cha gerezani.
Hiyo road imepata shurba ya magari ya ujenzi wa mradi na bado magari ya mradi mengi hukatiza hapo most of time kutobokea barabara ya machinga ambako BRT nayo inajengwa.
Acha ubishi.
 
Mpaka tumefikia hapo ujue tumefanya KAZI kubwa Sana nyinyi hamupo hata kwenye hayo mashindano machizi nyinyi😁😁😁

Bulgaria niya 80 kwa ubora duniani unafananisha na Kenya mwehu kabisa ww
Atakwambia waliwahi mfunga Qatar akati hata sisi tuliwahi mfunga Morocco ambaye kiviwango vya Fifa yuko mbali sanaaa.
Atakwambia wali draw na Russia akati sisi mwaka jana tumlikazia Algeria tukafuzu makundi Afcon Algeria ambayo imeizidi Qatar nafasi tatu na Russia nafasi sita.
 
Asa we unabisha nini?
Huo mtaa wa lindi ukinyoosha unatokea Gerezani kariakoo pia katika huo ukuta nyuma kuna kituo cha basi cha mwendokasi cha gerezani.
Hiyo road imepata shurba ya magari ya ujenzi wa mradi na bado magari ya mradi mengi hukatiza hapo most of time kutobokea barabara ya machinga ambako BRT nayo inajengwa.
Acha ubishi.
Maneno meeengi bure. Jibu swali, umekubali hio ni lindi street, je, kunajengwa BRT lindi street? Ndio au la - simple
 
Uhuru stadium ni uwanja wa uhuru wewe.
Uwanja wa Taifa ni ule wa Mkapa.
Ishu hapa kuwa na uwanja,ninyi si mlisema mlianza na Kasarani sie ndio tukafuata?
Kitambo tulikua na Uhuru stadium tokea 1961.
Wewe ni fala.. you don’t even know your own history… before Mkapa became the new National stadium, Uhuru was the national stadium…infact that was the official name.. Uwanja wa Taifa …ask your father…🤣🤣🤣
 
Mzee leo nimecheka sana. Website ya State wanatumia Wordpress.
Na hiyo ipo na users wawili:

"id": 1, "name": "admin"
"id": 4 "name": "State House"

NB: Nakusihi uwaambie IT wa kenya waache uzembe
Unajionuesha tu mjonga bure, heri ungenuamaza. If Tanzania depends on you for a developer then I don’t even know why we are here 😂
 
Back
Top Bottom