Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Why is Dar es Salaam ahead of Nairobi for development?

22. Immigration (Tanzania beautiful - Kenya big zero 🤣 🤣 🤣 🤣 )

Tanzania is Very Simple.

View attachment 2940872

Kenya 🤣🤣🤣🤣Watu walikula pesa

View attachment 2940873
Ndio utajua mmoja katumia CSS&HTML n.k na mwingine katumia HTML 1 😀 😁 🙄 and also color codeawajui pangilia mbwa hawa
 
Egypt hakuna uwanja wenye hadhi ya talanta stadium
Ninyi si mnapiga kelele kwa render!?
Uwanja mpya wa Al ahly ambao uko mbioni kujengwa huo hapo chini.
Aya sema Talanta inafikia hapo!?
Una bahati nimefunga kiazi cha rosti na tambi wewe.
Ujifananishe na Egypt kwa viwanja!!??
Screenshot_2024-03-22-11-47-56-65_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Elimu Elimu Elimu. Mtu anaongea as if uwanja upo, TUUONE SASA? ushawahi ingia Talanta stadium.

Kwanza nilivyoona hiyo render tu nikajua watafunika kama walivyofunika Amani Stadium.

Usituleteee adjectives nyingi.

Kwanza Mkapa foldable seats zipo.
Kama kuna foldable seats Mkapa ni kwa VIP pekee ingawaje hata hapo nina wasiwasi napo. Otherwise viti vya hapo vya kawaida ni rigid plastic.
 
Kwa sasa hamna ila wakimaliza kujenga kutakuwa nao unaofikia Talanta ila hakutakua na unaopita Talanta. Sasa turudi Bongo, achana na Misri.
We makalio kweli wewe.
Hivyo viwanja vyote vipo katika ujenzi sasa hivi na hiko kimoja kinaelekea kukamilika
Kwa ufala wako Talanta inafikia hiko kiwanja??
😂😂😂😂Oya muoneni huyu makalio anafananisha Talanta na Cairo new administrative stadium.
Huo wa Cairo unakaribia kukamilika.
UNATAKA NKULETEE VIWANJA VINGINE VYA MISRI VILIVYOIPITA TALANTA!?
Screenshot_2024-03-22-11-32-34-55_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
😂😂😂😂😂 jamani muoneni huyu makalio wa kikenya anafananisha Talanta na huu uwanja mpya wa Misri ambao umesifiwa kuwa uwanja wa pili kwa uzuri Afrika.
Screenshot_2024-03-22-11-32-34-55_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
We makalio kweli wewe.
Hivyo viwanja vyote vipo katika ujenzi sasa hivi na hiko kimoja kinaelekea kukamilika
Kwa ufala wako Talanta inafikia hiko kiwanja??
😂😂😂😂Oya muoneni huyu makalio anafananisha Talanta na Cairo new administrative stadium.
Huo wa Cairo unakaribia kukamilika.
UNATAKA NKULETEE VIWANJA VINGINE VYA MISRI VILIVYOIPITA TALANTA!?View attachment 2941639
Haya, tuonyeshe ya Tanzania sasa.
 
Back
Top Bottom