President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Hawa wakenya bado waponyuma sana kwenye issue ya Technology. Check email wanazotumia kutoka Zimbra (Utoto kabisa) π€£ π€£ π€£ π€£ π π π π
Hapo umeniacha, sijakuelewa.Urafiki na Mpemba Tangu lini?
Bulgaria 83rd in Fifa rankingTanzania is Universal points donor πππ
Actually what's Tanzania good at?
View attachment 2941847
Ugali na sukari yeye na kipa kapiga mbinguni π€£Universal Donor.
ichoboy01 mambo vipi? Yani Tanzania inafungwa hadi na wenye hawajulikani?
View attachment 2941875
Hata wangekuwa 209th position in FIFA Ranking bado wangewachapa tu. Hakuna Sport Tanzania wanajua.Bulgaria 83rd in Fifa ranking
Unalijua hilo!?
I'm sure hata mkiambiwa mcheze na ng'ombe kumi na Moja bado watashinda tu Tanzania.Ugali na sukari yeye na kipa kapiga mbinguni π€£
Bulgaria haijulikani au sio ww chizi basi
Wako hapa wanaimba render kama render.Kuna wenye walileta mchina kusign papers alafu mchina akarudi kwao. Hata hawajui ujenzi utaanza lini.
Tulia dawa ikuingie wewe πππ anytime from now utalia.Wako hapa wanaimba render kama render.
Mzee leo nimecheka sana. Website ya State wanatumia Wordpress.Wako hapa wanaimba render kama render.
Fala anafungua inspect element alafu anajiita hacker. π π π π Ndio maana hua tunawaita primary school dropouts.Mimi nilidhani kutakuwa na breaking news eti jamaa amehack immigration akajipea pass kumbe ni ujinga tu. Yani Admin 12 ndio hacking? Wewe hujui lolote wewe.
Hebu jaribu kufungua Inspect kisha utuwekee hawa users wa president.go.keFala anafungua inspect element alafu anajiita hacker. π π π π Ndio maana hua tunawaita primary school dropouts.
Wasindikizaji. Wanacheza na mafala na bado wanachapwa. π π πUniversal Donor.
ichoboy01 mambo vipi? Yani Tanzania inafungwa hadi na wenye hawajulikani?
View attachment 2941875
president.go.ke π€£ π€£ π€£ π€£ π€£Wasindikizaji. Wanacheza na mafala na bado wanachapwa. π π π