Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Samia hit a new low with that one.. what elections was that?…Mama must have smoked some chronic weed to write that..🤣🤣🤣 what next..?.. congratulate Kim Jong Un for being elected with 💯 percent of the vote…🤣🤣🤣🤣🤣🤣
sisi hatupangiwi na sisi sio wabepari elewa njia yetu ni yao na yao ni yetu usitufosi tufanane. Hence mlitumiwa ngano msisahau hilo...????
 
Huu hapa, daily dose.

Fs6RlSprM0Lx7JT41T85GRaiNPBJzkA4Du1kWNJsG1JsFBC0eQRPT4QEWr3cCM8W6Nc_Sb4FQYii8QqzdJbX4QtguQSL-EUb0cqors4k7g=s750
Screenshot_20240319-163922~2.png
 
Ondoa hili taka la 30k capacity hapa
Kaa ukijua hiyo ni world class facility, hakuna East and central Africa uwanja utakaokuwa best zaidi ya huo, and you know what? Hiyo facility itakuwa nje ya Dar pia nje ya Dodoma, so kazi itabaki kwenu wanuka mavi wazee wa kila kitu Nairobi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hata ulaya vipo viwanja vya 30k capacity ila vizuri Afrika nzima hakuna.
Tizama design hiyo bata maji wewe.
Sio kama Talanta turubai la funeral.
Mauwanja ya mpira yenye track ya mbio huwa siyatazami mara mbili.
 
Mauwanja ya mpira yenye track ya mbio huwa siyatazami mara mbili.
Ni wewe usiyejua kiwanja kizuri cha mpira kinaangaliwa kwa kipi.
Maana Europe vipo viwanja vyenye running track na ni bora na vizuri Afrika hakuna na vimehost mashindano makubwa.
Uwanja tizama pitch,mabenchi ya ufundi,majukwaa ya kukaa watu,Vyumba vya nguo,mabafu,vyumba vya VAR na manjonjo mengine kama sehem za michezo midogo midogo.
Hilo ndilo linalotazamwa.
Hata Mkapa mpaka ku host team za nje kuchezea hapa pamoja na AFL tournament ni kwasababu ya hivyo vigezo ila sio running track mshamba wewe.
 
Kaa ukijua hiyo ni world class facility, hakuna East and central Africa uwanja utakaokuwa best zaidi ya huo, and you know what? Hiyo facility itakuwa nje ya Dar pia nje ya Dodoma, so kazi itabaki kwenu wanuka mavi wazee wa kila kitu Nairobi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Capacity 30k.
Rika yake huku Kenya ni -
Bukhungu Stadium - Kakamega
Kipchoge Keino Stadium - Eldoret
 
Where is bukhungu ?? 🤣🤣🤣 Au bukhungu nyingine ambayo sijui 🤣🤣🤣

Kepchonge iko wapi capacity yake ngap 10,000 au ??
Kipchoge before reconstruction ni 10k, after reconstruction itakuwa 30k. Bukhungu is under construction in Kakamega as we speak. Sit down toilet boy.
 
Back
Top Bottom