Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,805
- 41,709
Unapost mahali penye watu wanachimba vs Uwanja uliokamilika.? πππMaumivu yakizidi, muone daktari.ππ
View: https://www.instagram.com/reel/C4xK6zHAYYj/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Huyo ni yesu wa tongareniπKumbe huyu malay.a anatumia π mbili π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Wajina muda wa kufuturu unakaribia usije kukausha daku.Nilichelewa huu mjadala πππ sasa mbona hiyo talanta ni kitu yenye haipo.? Kwahyo sikuhiz tumeanza kulinganisha ndoto za kenya vs mafanikio ya Tz .? πππ
Kwani hiyo taranta imehost michuano gani mikubwa?Of course Talanta is better than Mohammed V Stadium. Though nasikia wanataka kureconstruct hiyo Mohammed V.
Kuna viwanja vina track na vimehost finali. Hivyo viwanja sijasema ni vibaya ila vingi vyao havifikii Talanta. Halafu nimeweka vitu vingi kwa hiyo list vinavyofanya Talanta iwe bora kuliko Mkapa. Wewe nipe kimoja tu kinachofanya Mkapa iwe bora nihame huu uzi.
Kutoka kwa uwanja mpaka kwa mashabiki ni 100 metresMwache aendelee kujidanganya π€£π€£
View attachment 2940884
Talanta ya makaratasiπKuna mwendazimu fulani anasema huu uwanja umeshinda Talanta. πππ
Asa Mkuu kwani we hautaki ndugu zetu wapate faraja na wao.? πππ Mwache ajifurahishe bhanaKwani hiyo taranta imehost michuano gani mikubwa?
Yani kutoka kwenye picha mpaka viti ni 100mters π€£π€£π€£π€£π€£π€£ kweli munaumia sanaKutoka kwa uwanja mpaka kwa mashabiki ni 100 metres
Huoni vile inawakula kichwa?π€£π€£Wacha ni vunje Kimya, Talanta stadium ni kiboko
Boss talanta sio mchezo lazima washikwe na tumbo jotoHuoni vile inawakula kichwa?π€£π€£
Wewe na huyo mwenzako wote nyie sio wazima nyie πππ inamaana mmefika kulinganisha dreams vs reality?Huoni vile inawakula kichwa?π€£π€£
Komaeni hadi kieleweke Kundustan kwenye English yao sasaTalanta ya makaratasiπ
ahsante render unacompare na kitu ambacho kipo tayari,tukikuambia uende kuchukua dose yako ya merthadone pale mathare mental institute tutakua tumekosea?Wacha nikueleze polepole uelewe.
1. Talanta exterior is covered with self cleaning ETFE Membrane, Mkapa exterior is ugly concrete AKA Zege.
2. Talanta has folding seats, Mkapa has fixed seats.
3. Talanta has a parking for 3000 vehicles, Mkapa has a parking for 600 vehicles.
4. Talanta is purpose made with no running track inside the stadium giving a better football atmosphere, Mkapa has an ugly running track making the stadium wider and fans seat further from action.
5. Talanta has a fully covered fan section with an extention of transparent ETFE completely protecting fans from rain, Mkapa is almost 70% open.
6. Talanta is way more beautiful.
Hawataki kukubali Talanta ni standards za Europe na South Africa. The rest of Africa hakuna uwanja unakaribia Talanta.Boss talanta sio mchezo lazima washikwe na tumbo joto
Utaambiwa hiyo ni picha ya 1990. π πKariakoo Dar is a slum in 2024 π π π
View: https://x.com/JamiiForums/status/1770720092986196456?s=20
Huo talanta uko wapi?Hawataki kukubali Talanta ni standards za Europe na South Africa. The rest of Africa hakuna uwanja unakaribia Talanta.