Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The Talanta is not there. Kasarani old design Stadium. The Benjamin Mkapa stadium is modern.
Sorry to burst your bubble, this is not a modern design. It is just looked decent because it was in a region that was lacking in terms of stadiums but currently almost every country in the region is building a modern stadium, this is a museum. Nje ni zege tupu.


Hii na Kasarani hamna tofauti. In fact after renovation Kasarani might even be better than this dinousar. Pole kwa Kiingereza, najua huenda kikakupita juu ya kichwa.
 
Wewe unafananishaje Talanta na Mkapa? Kwanza nieleze huo Mkapa umeshindia Kasarani nini?
Kwani Talanta umekamilika?
-Kwanza hiyo design ya talanta imekaa kama turubai,yani design haina hata usisimko aisee kwa macho.
-Pitch ya Mkapa ya kimataifa,viti vya kukaa,mabenchi ya ufundi,vyumba vya nguo,vyoo mpaka sehemu ya matangazo,pia usisahau kuna VAR Mkapa stadium.Mechi kubwa zikichezeka zinawashwa na kutumika.
Embu ikamilike hiyo Talanta tuione.
Usifananishe uwanja uliokamilika na render ambayo hatuna uhakika kama itajengwa kama ilivyokua designed.
 
Hivi ndivyo unavyojidanganya??
Sifa ulizotaja ni sawa za Muhammad V Morocco.
Kwahiyo Talanta ni mzuri kuliko MUHAMMAD V MOROCCO??
😂😂😂😂😂 KUNA VIWANJA ULAYA VINA RUNNING TRACK NA VIMEHOST UEFA FINAL JE NAVYO SIO BORA?
Hamuna hoja munaongea tu kujifurahisha.
Acha talanta ikamilike kwanza.
Uwanja hata ujenzi haujafikia hata robo kelele.
 
Nilikuwa nakuona wewe kdg una afadhali unatawaza kwa maji kumbe nawewe ni walewale mnuka mavi kama wakenya wengine.
 
Of course Talanta is better than Mohammed V Stadium. Though nasikia wanataka kureconstruct hiyo Mohammed V.

Kuna viwanja vina track na vimehost finali. Hivyo viwanja sijasema ni vibaya ila vingi vyao havifikii Talanta. Halafu nimeweka vitu vingi kwa hiyo list vinavyofanya Talanta iwe bora kuliko Mkapa. Wewe nipe kimoja tu kinachofanya Mkapa iwe bora nihame huu uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…