Kama kasarai ni level ya Mkapa mbona Kasarani haina HADHI YA CAF WALA FIFA??Mkapa level yake ni Kasarani, kwa hivo mkisema mlijenga 20 years ago sisi tutasema tulijenga 37 years ago. Kwa sasa bado hamjajenga Talanta na hamna mipango ya kuijenga any time soon.
Wanajua wanaihusudu probox wakazileta kama mvua vile.Labda nikuulize ww mwehu zile gari munazo import kutoka Japan hua zinakuja brand new ??? Gari zote muna import kutoka Japan ni second hand, kwa vile Kenya kuna assembly plant ya Toyota au Benz au BMW 🤣🤣 mpaka tununue kwenu, munapenda kujipa shighuli isiokua yenu
Hzi gari zote zinauzwa ni used from Japan or UK 😂😂👇👇👇
Na bahat nzuri hawa Rana auto ni wapakistan mm nawajua Yani huna chakunidanganya
View: https://www.instagram.com/p/BfvX6_kD_EP/?igsh=MXR1bXh0Y2twdnpxeg==
View: https://www.instagram.com/p/B5swDN0HWFw/?igsh=czRicmhkNWhuMGd5
View: https://www.instagram.com/p/BvrywsSh3Ol/?igsh=MTd5bzRsd2xyb3J1
View: https://www.instagram.com/p/BfsqyXJjisY/?igsh=bTB5ZDJhbjR6MWVq
Umerogwa wewe.Mkapa level yake ni Kasarani, kwa hivo mkisema mlijenga 20 years ago sisi tutasema tulijenga 37 years ago. Kwa sasa bado hamjajenga Talanta na hamna mipango ya kuijenga any time soon.
Mama Ngina anakula pesa zenu? Sasa tuambie hizo pesa zimenunua simu ngapi? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Usipeane percentages pekee, peana na numbers. Maanake nikiangalia Kenya imetumia $2.1B kwa ununuzi wa simu wakati Tz imetumia $1.5B pekee.
View attachment 2940801View attachment 2940803
huku mbeleni tutakuja kuwa kama russia hio mombasa wanaoongea kiswahili kama chetu wanavyonyanyapaliwa hata kwenye ajira tutawachukua hayo majimbo na hio mikoa.Hii ni radio ya Mombasa tazama presenter kavaa jezi ya yanga 😂😂😂 anyway big up
View attachment 2940694View attachment 2940695
Umeshindwa kuleta Proof basi wewe ni domo linalopiga kelele bila proofs 🤣 🤣 🤣 🤣Prove what? Ndio maana unatumia picha za watu ukidanganya ni zako. Akili finyu.
The two are more similar than Mkapa to Talanta. If I was to grade them, Talanta gets 95%, Mkapa gets 59% and Kasarani gets 50%. That's why nimekwambia Mkapa rika lake ni Kasarani, sio Talanta.Umerogwa wewe.
Compare and contrast
Kasarani imepauka uwanja hView attachment 2940806View attachment 2940807View attachment 2940808View attachment 2940809auna hata taste bhanaaaaa!
Wewe tuambie zenu zimenunua ngapi maanake umeleta huu mjadala.Mama Ngina anakula pesa zenu? Sasa tuambie hizo pesa zimenunua simu ngapi? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Proof ya nini? Yani hata hujielewi na hujui kujieleza.Umeshindwa kuleta Proof basi wewe ni domo linalopiga kelele bila proofs 🤣 🤣 🤣 🤣
Kwahiyo umekubali kuwa Mama Ngina anakula pesa zenu? Asante 🤣 🤣 🤣 🤣Wewe tuambie zenu zimenunua ngapi maanake umeleta huu mjadala.
Kwahiyo umeshindwa kuleta proof kuhusu hoja yako ya uwanja wenu wa mpira kuwa unalingana na wetu. Okay nimeelewa wewe ni mbumbumbu(silly) 🤣🤣🤣🤣Proof ya nini? Yani hata hujielewi na hujui kujieleza.
Wewe proof yako wenu unalingana na Talanta iko wapi?Kwahiyo umeshindwa kuleta proof kuhusu hoja yako ya uwanja wenu wa mpira kuwa unalingana na wetu. Okay nimeelewa wewe ni mbumbumbu(silly) 🤣🤣🤣🤣
We ni makalio tena meusi.The two are more similar than Mkapa to Talanta. If I was to grade them, Talanta gets 95%, Mkapa gets 59% and Kasarani gets 50%. That's why nimekwambia Mkapa rika lake ni Kasarani, sio Talanta.
Talanta not exists vs Mkapa Stadium 🤣 🤣 🤣 🤣 Unaakili au matope?Wewe proof yako wenu unalingana na Talanta iko wapi?
Hawa nao, wanafananisha the likes of Ngorongoro na vipark vyao? Wanafikiri tofauti ipo kwenye marketing tu?Arusha is Africa's Safari Capital
View: https://twitter.com/wekesa_amos/status/1769398254054092898?t=tgxSngMp1Ddlsh2AwL0MvQ&s=19
It is slightly better ndio maana nimeipea 59% na nikapea Kasarani 50%. Talanta however is in its own league. Talanta unaweza upeleka hata Europe na bado utakuwa among the best stadia. Hiyo Mkapa yenu hata haugusi Amahoro ya Rwanda.We ni makalio tena meusi.
Kuanzia pitch mpaka majukwaa Mkapa is way far better than Kasarani.
Hata hiyo Talanta imekaa kama TURUBAI LA MSIBA huwezi fananisha na Mkapa.
Lia basi.Talanta not exists vs Mkapa Stadium 🤣 🤣 🤣 🤣 Unaakili au matope?
Na hiyo ni lugha gani unajaribu kuongea? 😂 😂Talanta not exists vs Mkapa Stadium 🤣 🤣 🤣 🤣 Unaakili au matope?