The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,849
Hapo ndipo nnapowapenda wakenya, over 80% ya Wakenya wanashabikia Simba na Yanga, hii inafanya klabu zetu ziendelee kuingiza fedha π°πΈ tunashukuru kwa hilo aisee, kama ambavyo ni mashabiki wa mziki wetu ndivyo hivyo hivyo kwenye soccer letu wameendelea kuwa mashabiki waaminifu kabisa. Mkenya anatoka kwao huko mbali anakuja kuangalia kariakoo derby πππHii ni radio ya Mombasa tazama presenter kavaa jezi ya yanga πππ anyway big up
View attachment 2940694View attachment 2940695
Mnaifatilia sn Tanzania mpaka ikibidi muongope ili mjifariji kwamba tupo sawa kwenye mashida π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Dar is a slum ni mashida tupu. π π π π π
View: https://x.com/UziBinUzi/status/1770040138506133604?s=20
Na hicho ndicho kitu kimefanya FIFA na caf ku approve viwanja vyetu, timu zenu inabidi zije Tanzania kucheza mechi zao za kimataifa huoni aibu? π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Unawatch bol ukiwa 1km from the field.
Angalia Mali yao pendwa hapa ( Probox), Kwamba hii ni Brand new wakimaliza kuibebesha ile mizigo inayozidi size ya gari ndio wauze Bongo kama second hand? Au itakua Owner wa hamsini ππππLabda nikuulize ww mwehu zile gari munazo import kutoka Japan hua zinakuja brand new ??? Gari zote muna import kutoka Japan ni second hand, kwa vile Kenya kuna assembly plant ya Toyota au Benz au BMW π€£π€£ mpaka tununue kwenu, munapenda kujipa shighuli isiokua yenu
Hzi gari zote zinauzwa ni used from Japan or UK πππππ
Na bahat nzuri hawa Rana auto ni wapakistan mm nawajua Yani huna chakunidanganya
View: https://www.instagram.com/p/BfvX6_kD_EP/?igsh=MXR1bXh0Y2twdnpxeg==
View: https://www.instagram.com/p/B5swDN0HWFw/?igsh=czRicmhkNWhuMGd5
View: https://www.instagram.com/p/BvrywsSh3Ol/?igsh=MTd5bzRsd2xyb3J1
View: https://www.instagram.com/p/BfsqyXJjisY/?igsh=bTB5ZDJhbjR6MWVq
Kenya na probox πππAngalia Mali yao pendwa hapa ( Probox), Kwamba hii ni Brand new wakimaliza kuibebesha ile mizigo inayozidi size ya gari ndio wauze Bongo kama second hand? Au itakua Owner wa hamsini ππππ
Vitu vingine unaangalia tu ile Rhythm ya maisha unajua level yao inatoshaπ
Hapa Rhythm inakataaa na wanayosema πππ. inafoka kabisa vitu haviendani
View attachment 2940716
85% ya gari zao ni probox na bahat nzuri kwa Hilo hua hawabishi ππππ Unaeza Kuta tajiri anaejiweza lakini anaendesha probox yenye airbag mbiliAngalia Mali yao pendwa hapa ( Probox), Kwamba hii ni Brand new wakimaliza kuibebesha ile mizigo inayozidi size ya gari ndio wauze Bongo kama second hand? Au itakua Owner wa hamsini ππππ
Vitu vingine unaangalia tu ile Rhythm ya maisha unajua level yao inatoshaπ
Hapa Rhythm inakataaa na wanayosema πππ. inafoka kabisa vitu haviendani
View attachment 2940716
Hivi unatumai mtu na akili zake timamu aanze kubishana na toilet boy? Kuna watu wa kubishana nao, wengine unawaacha tu waamini ujinga wao. Mtu mjinga sio wa kubishana naye.85% ya gari zao ni probox na bahat nzuri kwa Hilo hua hawabishi ππππ Unaeza Kuta tajiri anaejiweza lakini anaendesha probox yenye airbag mbili
Ndio maana katika magari yanayoongoza kuwaua ni probox alaf bodaboda hua zinawakataga kama nyama
Where did I mention USA in my comment. Sasa sio unaona wewe ndio mjinga na mpurukukaji at the same time?!Siku hiz domain za USA zinaishia .co.ke
Wewe ni mjinga wa kwanza
Stupid Kenyan
Naona SASA unawasaidia, wamesahau KAZI Yao three times a day π€£π€£π€£π€£
Kuna shida gani Huko eldoret au munatoana kafara SASAWhere did I mention USA in my comment. Sasa sio unaona wewe ndio mjinga na mpurukukaji at the same time?!
Ukona low self esteem hadi unapost magari ziliuzwa Kenya in 2018. π π πAlaf wanakwambia kwao hawatumii gari za 2002π€£π€£π€£π€£π€£
View: https://www.instagram.com/p/BggFrHFDlfZ/?igsh=YzEyb3pzdHo2amox
Sisi wenzenu hayo tulifanya miaka 20 iliyopita Rais akiwa mkapa nyie Rais wenu alikuwa mtukufu moi
πππ Jana hiyo nilivyokua napiga mbu kwa Rungu, nimeamka na swaumu yangu ndio mana nimepiga kimya, baadae after iftar ndio moto utawaka π₯π₯π₯.. sikuhiz nimejipa nick name naitwa "Ngariba" ππ mimi ndio nawakeketa mungikiWajina umefunga bhana utafungulia punguza jazbaπππππ