Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanapost Nyayo stadium wanadhani ni Talanta Stadium.

Holly Cow!… Nyayo will look classic… with Talanta and refurbished Kasarani, Nairobi will qualify to host a very major world event….No other city in the region can claim 3 world class stadiums within their periphery….Plus City Stadium is also being renovated… that’s 4 world class venues in one city…. Nairobi haina mpinzani…🤣🤣
 
🤣🤣🤣 Ni uwanja wa Arusha ndio unakutolesha povu hivi mzee.?
 
You already have stadiums with running tracks, when are you going to have a football-specific stadium to give you the exciting football environment?
So, running track tu ndo inakupa orgasm? Mbona nyinyi wakenya hamna akili namna hii? Mnavipa umuhimu vitu vidogovidogo ambavyo havina mpango wowote na serikali yenu ikaingia mkenge, football stadium zisizo na running tracks huku kwetu zitajengwa na Simba na Yanga mana hizo ni club za mpira wa miguu, na tayari Yanga wameshaanza, so, na nyie ilipaswa football clubs zenu ndiyo zijenge stadiums zisizo na running tracks, tutawafunza kwa vitendo tuone kati yenu na sisi nani mwenye elimu bora.
 
Mlinunua Boeing 787 lini ebu leta ushahidi au mlilease?
 
Waulize ni lini tuliwakopi kujenga brt?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…