Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,805
- 41,709
Wacha kujifanya eti ulishangaa kuona mababara kama haya mzee πππ first of all hii sio Kariakoo, hii picha umepiga Ilala BOMA kwenye junction ya karume ambapo kuna ujenzi wa BRT junction ulikua unaendelea, kwasasa ujenzi umeshaisha njoo tena ujionee, sema ukweli mzee wacha kuongea uongo ππππEti "nilishangaa kuona barabara kama haya" πππNimeshawai kuja. kwanza pale kariakoo
Nilishangaa kuona barabara kama haya Kariakoo yani town. Alafu watu Dar ni wengi ajabu, traffic is crazy, but I enjoyed my time. Itβs a nice coastal city
View attachment 2936968View attachment 2936970
Serikali haina mamlaka pale ndo maana zinaongozwa na baraza la maaskofu! Zaidi ya ku-subsidize uendeshaji na Haimiliki zile hospitali msipotoshe! Na ndo maana inazitambua kama hospitali binafsi na ilizitaifisha na kuzirudisha baada ya kushindwa kuziendesha!Umemaliza mjadala mkuu.
Hili ashaelezwa sana ila hawezi lielewa.
Anaambiwa vingine yeye anashikilia umiliki.
Watu wanatizama mamlaka,serikali ina mamlaka kote Bugando na KCMC.
Mbona haijawa na mamlaka hospital zingine??
Hizo taasisi zipo kama anarchy leader hawafanyi kitu wakisubiri serikali ipange bajeti kuhusu wa.
Still mtu analeta ubishani wa kipumbavu.
Mkenya anajielewa sio hawa kunyan walala njeAnother case of limited English comprehension⦠you just beat yourself⦠is this Westgate???
Kwa fikra zako kuwa na mamlaka mpaka umiliki kitu??Serikali haina mamlaka pale! Haimiliki zile hospitali msipotoshe!
Jamaa kaongea la maana sana aisee.Mkenya anajielewa sio hawa kunyan walala nje
Kwenye music kunyan mkubali tu hamtuwezi,eti tunawachukia shwain,mna chuki mbaya na TZ kwa kila kitu hata kwenye music ndio maana mnahasishana mpende music wa kwenu but hamjui kuimba,mtadance sana nyimbo zetuNice dance video by Kenyan Yungins β¦. We appreciate good musicβ¦ no hating like our southern crazy neighborsβ¦ π€£π€£π€£
Akili nyingi huyo jamaaJamaa kaongea la maana sana aisee.
Hospitali unazobishia zinaongozwa na Baraza la Maaskofu, wewe unabisha kama si unyoko ni nini? Mbona zisiwe chini ya Wizara kama Muhimbili? AU hospitali nyingine za serikali?Kwa fikra zako kuwa na mamlaka mpaka umiliki kitu??
Kwahiyo usipomiliki kitu hauna mamlaka nacho??
Kwani mamlaka yanakuwepo mpaka kuwa na umiliki tu??
Kama serikali haina mamlaka kwanini wizara ya afya ndio inaiendesha hiyo hospotali??
Kuna wanangu kama 10 hivi wanarudi na kuna wengine 4 ndio wameenda
Mama ngina aliwaaminisha hivyoInachekesha, yaani wanachukulia Raisi kama mgonjwa mdogo, life threatening situation Raisi awe nchi jirani?
Si nchi inaingia kwenye hali ya hatari, sense of security ya nchi inapotea.
Hao wapuuzi wanachukulia kirahisi rahisi.
Hapo kwenye board of governors kuna kuanzia 3 - 5 kuna kina nani kama board members??KCMC ni private hospital imejengwa na ushirikiano wa madhehebu ya Kikristo About Us GOOD SAMARITAN FOUNDATION! Kama hujui kitu nyamaza si unajiaibisha!View attachment 2936555View attachment 2936556
Yani ukiskiliza western propaganda utasema north Korea ni nchi masikini Sana ila mambo kwa ground sio mchezo jamaa wako mbali Sana Sana ππNaona yuko kwenye gari aliyozawadiwa na Putin.
Hapo kwenye board of governors kuna kuanzia 3 - 5 kuna kina nani kama board members??
Embu tusomee tusikie.
Naona kuna mjadala mrefu kuhusu KCMC.
KCMC ni private hospital ambayo Evangelical Lutheran Church (ELCT) of Tanzania wana makubaliano ya Memorandum of Understating with the Government of Tanzania through the Ministry of health and Social Welfare (MoHSW).
Hatujui wamekubaliana vip, waweza kuta wameeleza baada ya miaka 50, hospital itabinafsishwa... au ELCT waomba serikali iwasupport ila baada ya mda watalipa madeni yote.. yan investment yote serikali iliyoinvest kwa budgets zilizopitishwa na Board yao, ELCT watazirudisha.. so kiufup KCMC ni private hospital ambayo serikali inasupport.. lkn kuna namna kutokana na investment au support baadae baada ya mda, hii KCMC itamilikiwa na upande mmoja btn ELCL au serikali kulingana walivyokubaliana kwenye MOU.
Investment ya serikali maskin kwenye hii hospital sio wa bure hata kidogo
View attachment 2936921
Kuhusu board members. Wapo 9.
Most times, board of governors (BoG) ndo haohao wa trustees (BoT)
Hawa wanne wa serikali wapo kimkakati, wote ni wateuliwa wa Rais, hawapo burebure, hasahasa huyo wa kutoka wizara ya fedha
- 4 kutoka serikalili
- 5 kutoka kanisani
View attachment 2936920
Achaneni nae naona kashaenda mbali kwenye udini sasa ππππ Yani jamaa wakat mwengine sijui anaakili gani, anapenda Sana kuleta Mada chonganishi za udini na ukabila na ukija kutizama umri wake hafanani na mawazo hayoUmemaliza mjadala mkuu.
Hili ashaelezwa sana ila hawezi lielewa.
Anaambiwa vingine yeye anashikilia umiliki.
Watu wanatizama mamlaka,serikali ina mamlaka kote Bugando na KCMC.
Mbona haijawa na mamlaka hospital zingine??
Hizo taasisi zipo kama anarchy leader hawafanyi kitu wakisubiri serikali ipange bajeti kuhusu wa.
Still mtu analeta ubishani wa kipumbavu.
Kipanya kinasafiri from Nairobi to Kisumu just imagine π€£π€£π€£π€£π€£Kitu usichokijua we mnuka mavi Tz Safar ya DAR-Moro ambayo nadhani ndio safari fupi Zaidi watu wanapanda buses za viwango unlike you poor people of kunyan republic mnaosafiri na vipanya. Sisi sio nyinyi msifosi tufanane
Jamaa wamejitosheleza kila sekta.Yani ukiskiliza western propaganda utasema north Korea ni nchi masikini Sana ila mambo kwa ground sio mchezo jamaa wako mbali Sana Sana ππ
Hii hapa muoneshe plzπ€£π€£π€£π€£Wacha kujifanya eti ulishangaa kuona mababara kama haya mzee πππ first of all hii sio Kariakoo, hii picha umepiga Ilala BOMA kwenye junction ya karume ambapo kuna ujenzi wa BRT junction ulikua unaendelea, kwasasa ujenzi umeshaisha njoo tena ujionee, sema ukweli mzee wacha kuongea uongo ππππEti "nilishangaa kuona barabara kama haya" πππ
ππππππ Ulipiga kipindi cha ujenziNimeshawai kuja. kwanza pale kariakoo
Nilishangaa kuona barabara kama haya Kariakoo yani town. Alafu watu Dar ni wengi ajabu, traffic is crazy, but I enjoyed my time. Itβs a nice coastal city
View attachment 2936968View attachment 2936970View attachment 2936989
View attachment 2936991View attachment 2936993View attachment 2936995View attachment 2936997