Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo achana naye mkuu.
Atakupasua kichwa aisee hii mada ife mkuu tutizame pengine.
 
Nyerere alinyang'anya shule na hospitali za taasisi za madhehebu yote, tena wakatoliki ndiyo walikuwa na shule nyingi, sasa wivu unatoka wapi?

Kwa Dar, Shule za serikali zilikuwa ni Azania boys na Jangwani girls tuu baadae wakajenga Kibasila (Co edu), sasa ulitaka watoto wa enzi hizo wasome wapi? Kwa sekondari, Dar alitaifisha Aga Khan Boys (Tambaza), Aga Khan Girls (Zanaki), Dar Girls chini ya dhehebu la Lohana (Kisutu girls sec) na St Joseph (Forodhani ambayo imerudishwa kanisani). Tanzania imenufaika sana na ujamaa kuliko hasara iliyoipata.
 
Hio project yenu ilianza Geza Ulole akiwa kijana mdogo na hadi wa leo hamjawai maliza. ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚

Affordable housing zote under construction in Kenya zitaisha kabla mumalize hio project yenu.

Ati Samia Housing Ilianza Geza akiwa kwa diapers?โ€ฆ.๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃโ€ฆ Leo Umenichekesha sana..
 
Mbona unajikanyaga kanyaga ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
We warned them it was Covid related event and the markets would rectify the course eventually โ€ฆ wakasema ati GDP Yao ni $300 billionโ€ฆ. We just stopped reasoning with themโ€ฆ Bongolala is a condition with no cureโ€ฆ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ