NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,288
- 19,633
I smell your manipulation but why accept food donations if you don’t have any need for it?… we know Dodoma is a dry place like Northern Kenya.. so it’s possible to experience food shortages….its not like we Kenyans care about the donation but it’s the way you are running away from it that is hilarious… so we will keep on pushing the buttons till you accept reality…😄😄😄😄😄
Hata mimi nashangaa. Marekani wanatuletea chakula kutoka "wakulima" wao?
Yaani hadi leo hakuna timu ya nyang'au iliyojenga uwanja wake. Kama ipo hebu waonyeshe😎😎Haya yanga wameanza kujenga uwanja wao utakaoitwa Kaunda stadium mpaka kukamilika kwake uwanja utachukua watazamaji 30,000
Musiwaambie nyamazeni kimya 😅😅
View: https://twitter.com/eastafricatv/status/1768656446462308543?t=EV9MvmDRWcFLA2hm3AL-cg&s=19
View attachment 2935546
View attachment 2935547
Mnatamani tufanane ila ndiyo haiwezekani, sisi ni nchi ya asali na maziwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii hasira yote ni ju ya hii. 😂 😂 👇 👇 👇 Zoea hizo gunia tafadhali.
Hiyo video iko wapi sasa wewe kipchirchir?...Wait for the video..
Hizi estate za eastlands ziko na lami zaidi ya 1,000kmAcha tuwakumbushe where most Nairobians live
BuruBuru phase 1-4
View attachment 2934615
View attachment 2934616View attachment 2934617
Donholm
View attachment 2934618
Embakasi
View attachment 2934619
Kayole
View attachment 2934620
KomaRock phase 1-4
View attachment 2934621
View attachment 2934624
View attachment 2934626
Picha ya kwanza ni wapi mkuu, ni kijazi?
Shughuli kama hizi nyang'au hawaziwezi ng'o😎
Bado hawajasema Hadi waseme 🔥🔥Shughuli kama hizi nyang'au hawaziwezi ng'o😎
Imani potofu.Mashoga waliojaa mitaani walikula mchele wa USA?
Mko na njaa bwana. Mtapokeaje msaada wa chakula kama hamna njaa.Imani potofu.Mashoga waliojaa mitaani walikula mchele wa USA?
Japo ni muhimu kuulizawaliopokea Msaada ni Kwa lengo gani hasa? Maana hatuna njaa