Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Talanta stadium dose. Namkumbusha yule Kinjekitile Saba alishinda humu akiongelea wasiwasi alio nao kwamba Kenya hatutokuwa ready for Afcon.
img_0362-jpeg.6881627

Cheki hiyo greenery. Bongolala zitaita Naipori, wanaojielewa watajua ni proper city planning that should be emulated everywhere.
 
Okay. E series registration in Tz started last year or end of 2022 but not necessarily all vehicles with E reg are 2022/2023 models. So KB series can be 2010-12 but NOT all cars were brand new. Can be 2005,2006,2008 etc.
Hujielewi
 
Talanta stadium dose. Namkumbusha yule Kinjekitile Saba alishinda humu akiongelea wasiwasi alio nao kwamba Kenya hatutokuwa ready for Afcon.
img_0362-jpeg.6881627

Cheki hiyo greenery. Bongolala zitaita Naipori, wanaojielewa watajua ni proper city planning that should be emulated everywhere.
Screenshot_2024-03-14-15-50-15-43_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
 
Huyu bibi titi bhn, now anaongelea gari wakati juzi tu hapa alipost gari aliyo claim ni yake alafu hiyo gari imechoka kweli kweli, hamna hamna ile gari ni ya mwaka 90 kurudi nyuma na bado ana audacity ya kuongelea agility ya gari 🤣🤣🤣🤣🤣
Uko hata na baiskeli wewe? Wewe kitu unaezakuwa nayo ni torch na rungu pekee.
 
Back
Top Bottom