The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
It's not ubungo interchange you mad 😡Every time I see this “exchange” I get Church vibes, like I want to pray… must be the cross…🤣🤣🤣
It's not ubungo interchange you mad 😡Every time I see this “exchange” I get Church vibes, like I want to pray… must be the cross…🤣🤣🤣
There is nothing special there! Mloganzila kuna vyumba kama hivyo!! Hivyo ni vitu vya kawaida sana huku.
Nilifikiri ni Chang'ombe flyover.Hii sio Ubungo interchange mzee 🤣🤣🤣, hizo ni brand new za BRT phase 2, mimi ndio wa kwanza kuipost ikiwa imekamilika, yaani leo ndio mara yako ya kwanza kuiona, hiyo ni uhasibu flyover, it's near by kurasini interchange.
Nice comeback!..🤟🏾🦾Hii sio Ubungo interchange mzee 🤣🤣🤣, hizo ni brand new za BRT phase 2, mimi ndio wa kwanza kuipost ikiwa imekamilika, yaani leo ndio mara yako ya kwanza kuiona, hiyo ni uhasibu flyover, it's near by kurasini interchange.
Hiyo ni uhasibu mkuu unaweza kuona chuo cha uhasibu pembeni kidogo tu hapo ...Nilifikiri ni Chang'ombe flyover.
Ndiyo, yn nlikuwa kila nkiangalia nasema hii Chang'ombe gn hii mbn mazingira tofauti.Hiyo ni uhasibu mkuu unaweza kuona chuo cha uhasibu pembeni kidogo tu hapo ...
View: https://www.youtube.com/watch?v=29yUy6lB8tg
Huyu baharia anajitahidi kwa kweli ila anatakiwa atoe video kama nne kwa siku ili algorithms zimtambue la sivyo itamchukua muda mrefu kupata subscibers.
Njia ya kwetu kuelekea Kigamboni.
Endelea kuota kijana.Your knowledge is limited and you show it… learn about mutual defense pacts .. a good case of study is US relations with Taiwan… US foreign policy is doctored as one China meaning doesn’t recognize Taiwan as an independent country…. Yet the mutual defense pact states that the US would come to defense of Taiwan if China invaded…..Similarly Kenya and the US have a defense pact in relation to provision of gathering and sharing intelligence…Baringo is an internal matter which is all political instigation…. But any foreign conflict involving Kenya… we will get every intelligence we need to further our interests…. And Al Shabaab was decimated.. ( no territory no Kismayo) what you hear is small pockets of insurgents who hit and run like cowards ( guerrilla tactics)… did I leave out anything?… let me know
Na ww unaamini huu upuuzi🤣🤣🤣🤣Yaani by March 10 , two weeks wakenya walikua Jamaa alikuwa mgonjwa??
Kwahiyo ni TPDF vs KENYA+USA ARMY means Tanzania ni Jeshi Boraaa.Your knowledge is limited and you show it… learn about mutual defense pacts .. a good case of study is US relations with Taiwan… US foreign policy is doctored as one China meaning doesn’t recognize Taiwan as an independent country…. Yet the mutual defense pact states that the US would come to defense of Taiwan if China invaded…..Similarly Kenya and the US have a defense pact in relation to provision of gathering and sharing intelligence…Baringo is an internal matter which is all political instigation…. But any foreign conflict involving Kenya… we will get every intelligence we need to further our interests…. And Al Shabaab was decimated.. ( no territory no Kismayo) what you hear is small pockets of insurgents who hit and run like cowards ( guerrilla tactics)… did I leave out anything?… let me know
Sijui shida ni nini. Huku south Africa, botwasana, Námibia huwezi oná bodaboda. Zimejaa zile toyota hiace Kila mahali.Hizi boda boda zingepigwa marufuku kwa kweli, dah! Mi sijawahi fika Tanzania wakati zimeanzishwa, ni shida kwa kweli.
Kumbe inakuanga kubwa hivi! 😂😂😂
View: https://x.com/mdemupolycarp/status/1768286318600102159?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw